Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

ular-kobra_1512_1_20151215_093919.jpg

Mkulima huyu huko India,alighadhabika vikali baada ya king cobra kumuua mwanae alimuwinda nyoka kisha akamshika mkia na kuanza kumbamiza nyoka huyo mpaka akafa duuh.
 
images-16.jpg
images-25.jpg
images-17.jpg

Watu hupenda kumchezea swila mfame huyu,lakini mara nyingine kibao huwa kinageuka,akikung'ata huyu umekwisha.
 
Mkuu,
Unafuga nyoka?
Ni jambo zuri lakini wa nini? Unafanya research una zoo au msukuma?


Hapana, wakati nachukua Masters (US), nilikuwa fascinated sana na nyoka haswa nyoka hatari....there's something about them that fascinates me. Sichezi nao, wanakaa kwenye special cage....furaha yangu ni kuwaona wanavyotembea na kujaribu kukamata vijusi na wadudu wengine.
 
Haya bwana, kama nilipigwa fix poa. Aliyenipa hizo data ni mtaalam wa nyoka, ukienda mikumi utawakuta.
120 hiyo speed sio mchezo. endasha gari kwa 120 speed uione, Kisha pima na nyoka Kama anaweza kwenda speed hiyo kwa lisaa
 
Sijafanya tafiti hizo, labda waliofanya tafiti hizo watusaidie.
Koboko haswa aliyekomaa wakati ana strike huwa anafikisha kilomita 80 kwa saa yaani ukimpima spidi ya kichwa chake kinapogonga.
 
Sehemu yoyote yenye nyoka wengi fuga nguchiro. Nyoka wote watakimbia. Huyo black mamba sijui mavi ya nini! Kwa nguchiro anakuwa menu swafiii. Na kiboko ya nyoka wotee ukindoa chatu wakubwa ni mnyama anyeitwa honey bager. Anayelijuwa jina lake kwa kiswahili atuambie. Honey bager hatari sana. Black mamba. Cobra akikutana na huyu mdudu anatafuta njia nyingine.
Honey bager = Nyegere
 
Si kweli, koboko unaweza ukqpita hata Mita 2 kutoka Alipo na asikufanye kitu. Koboko ni nyoka mpole sana, kama Huna time nae wala hashughuliki nawewe. Nipo huku mpakani mwa Tabora na Kigoma, wenyeji wanasema kuwa mara nyingi Kabla hujamuona yeye anakuwa ameshakuona kitambo hivyo anakuwa anafuatilia nyendo zako na akiona huna habari naye naye anaendelea kivyake.

Ng'ombe wengi huwa wanagongwa kwasababu wao wanaingia popote bila ustaarabu na bwanamkubwa hapendi, hivyo huwagonga.

Ingawa wenyeji wanasema Kuna baadhi ni nadra huwa wanapatwa na kichaa, sasa hapo ndo tatizo na huyo huwa hatari maana anakausha hata miti Kwa strikes zake
Mkuu huyo atakuwa HAJAVUTA BANGE.
 
Aisee , we unamzungumzia kifutu(viper) sio koboko
Namzungumzia Koboko (Black Mamba) the most aggressive snake in the world. Turns out ni nyoka ambaye hana makuu na ndio maana anapenda kakaa sehemu tulivu, mbali kabisa na makazi ya watu.

Nipo huku mpakani mwa Kigoma na Tabora, mzee mmoja anasema kuwa ukiona Koboko ana-attack watu/vitu hovyo basi nyoka huyo either amekuwa kichaa (nadra sana koboko huweza kurukwa na akili) au amechokozwa na ameponea chupuchupu kuuawa, au itokee umkute ana/amekula chakula chake pendwa (Bangi) hapo ni vigumu kutoka salama. Anayeweza kukukimbiza ni yule tu aliyetumwa kuja kukudhuru, zaidi ya hapo hakuna.
Na huku wanasema ukitaka umuone panda Bangi.
 
Back
Top Bottom