Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Dah wamejaa wana kwenye Supermarket.
Nani wa Wikipedia kamleta kama sio huyo nwenzako mnaosapotiana kaleta source ya Wikipedia ndio nimemdadavulia .Unatuletea koboko wa kwenye wikipedia..haah!!? Mtu yoyote anaweza kuweka upuuzi wake!!..sisi tunakupa facts..kutoka mapori makubwa hapa hapa afrika.
Huyu nyoka anasumu Kali kweli lakini ukutana nae akukimbiezi tu bila kumchoku sio maana mm nilisha kutana nae anakajiondokea zake na wala sio mara mojaUnatuletea koboko wa kwenye wikipedia..haah!!? Mtu yoyote anaweza kuweka upuuzi wake!!..sisi tunakupa facts..kutoka mapori makubwa hapa hapa afrika.
Halafu kuna mtu anashinda mitandaoni haja experience anaanza kubisha na kuleta porojoHuyu nyoka anasumu Kali kweli lakini ukutana nae akukimbiezi tu bila kumchoku sio maana mm nilisha kutana nae anakajiondokea zake na wala sio mara moja
Hivi kweli unamjuwa koboko kweli au unaleta ligi ? Nimekupa link mara unasema eti kadogo! Koboko analiwa kama kitumbua. Awe aliyekomaa kama unavyodai wewe au vyovyote vile. Ndiyo muumba maulana alivyouumba kuwa hawa nyoka ni chakula cha honey badger. Nature hiyo mjomba. Sumu ya koboko haina madhara kwa mdudu huyu.Kakoboko kadogo saana hako,tena wamekachagua kwa ajili kaliwe na baja..anyway nasema hivii nitumie link ya koboko aliyekomaa akiliwa na baja.
Wewe jamaa una matatizo sana kama hata ya nyegere kumla koboko unabishaNasema hivii niwekee link ya baja akimla koboko aliyekomaaa.
wallahi sirudii tena kusumbuka kuelewesha na kuandika
upo empty Mimi nakuwekea mpaka pics wewe unaleta gazeti la maandishi na kama una farm koboko huko mbeya tupiaga hata picha,sio blabla nyingii..Facts mnazotoa ni porojo tu hakuna fact yeyote niliyoona tangu jana
Nasema hivi nitumie link ya baja akimla koboko aliyekomaa..Hivi kweli unamjuwa koboko kweli au unaleta ligi ?
Nimemjibu huyo jamaa sio wewe,hebu tupia picha za hao koboko kwenye hiyo farm yako ya mbeya.Wewe jamaa una matatizo sana kama hata ya nyegere kumla koboko unabisha
Na jamaa wakamshitukia wakasubiri masaa kadhaa ili mdudu aende na shari yake.Hap
a Hapa ukitusu upitishe gari eti umgonge imekula kwako..ataingia ndani na show utaipenda
Usikimbie tupia clip au picha ya hao koboko wa kwenye hio farm ya mbeya.Kwa kukusaidia tu achana na nyegere ,nguchiro anamla koboko na popote alipo nguchiro koboko hukimbia
Mkuu mbona una ligi hivyo? Wapi nimeandika huwa anakimbiza watu, nisome vizuri, nilisema ni aina ya nyoka ambae hujaribu kuepusha shari msikutane, Ila ukiingia kwenye anga zake ndio utamjua yeye ni nani, acha kukariri, unasema hana sifa ninazompa unataka kusema Koboko ni nyoka mpole? Acha zako, kawaulize vizuri wasukuma wafugaji watakwambiaView attachment 724786
Umenipa source ya wikiedia nimepitia maelezo humu na machache umeotodhesha hapo juu.
Wikipedia kwenye tishio mamba anafungua mdomo wake na kutoa sauti na mamba ana uwezo wa kugonga kwa idadi kubwa kwa mafanikio..sumu yake ina neurotoxins nk nk...licha ya tabia yake ya kuwa aggressivr ,mamba huwa anakimbia anaondoka akiona watu unless mpaka awe ametishiwa au cornered amezingirwa ,kabanwa hana pakutoka
Nb:sasa mkuu haya maelezo ya Wikipedia k na hoja zangu zinatofauti gani?...comments zangu zote nimesema hakuna mamba anayekimbiza watu kama mnavyodai nikasema mamba akiniona namfuata atajiondokea zake na hata nikimkimbilia atatafuta njia ya kusepa nikimbana kulia atageuza kushoto huku kichwa chake akikisimamisha na kurudisha nyuma na akiwa kabanwa anatulia ila shingo anairudisha nyuma akisubiria time akugonge na hata akikufuata haizidi mita 3 tena kwa tahadhari huku akirudisha kichwa nyuma ndivyo nilivyosema mm hivi
Kipitia hoja hizi za Wikipedia wanakubaliana na mimi na hakuna mamba au nyoka anayekimbiza watu hakuna
Na hio ya kubanwa kuwa cornered kila nyoka kuanzia king cobra,mozambique cobra,viper,nk huwa wanakaa in defence mode kujilinda kwa kukaa mkao wa kugonga kasoro spitting cobra huwa hakubali asogelewe mita 10 huwa anatunisha shingo na kuanza kutema
Mjadala umefungwa
Koboko mnayemzungumzia humu jamii forum hayupo duniani link ya wikipedia uliyoitoa ina support hoja zangu.
Soma tena hizo comments zangu nimesema tena na tena koboko aliyekomaa.Nimekupa link mara unasema eti kadogo!
Miomba ligi yako siyo ya vodacom tena! Imekuwa ligi ya cha ndimu pale uwanja wa magunia!Soma tena hizo comments zangu nimesema tena na tena koboko aliyekomaa.
Wewe jamaa una matatizo sana kama hata ya nyegere kumla koboko unabisha![]()
![]()
wallahi sirudii tena kusumbuka kuelewesha na kuandika
Halafu wajitia mjuaji wakati maisha ya nyoka na koboko huyajui![]()
upo empty
Kwa kukusaidia tu achana na nyegere ,nguchiro anamla koboko na popote alipo nguchiro koboko hukimbia
Duh salale
Si comment tena
Nasema tena niwekee hiyo link ya baja akimla koboko aliyekomaa..Miomba ligi yako siyo ya vodacom tena! Imekuwa ligi ya cha ndimu pale uwanja wa magunia!
Huyo jamaa alijiongeza faasta..hahaha.Kuna gereza moja lipo iramba linaitwa ushora huyo koboko alishawah kuua sero nzima kasoro jamaa mmoja tu ndio alipona baada ya kumfunika na blanket halafu akamng'atang'ata