Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Kuna siku moja kifutu wangu (black adder) alijificha chini ya cage yake baada ya tai kuja kujaribu kumchomoa for lunch. Sikuamini kama tai ana nguvu ya hajabu, yaani yule tai aliikunja fence (hizi za kawaida za dirishani si ya kuzuia mbu) utafikiri ni mtu aliyefanya vile. Mbwa walikuwa wanapiga sana kelele kwenye cage yao, kutoka kuchungulia nikakutana na bonge la tai liko bize kukata ile fence, kuchungulia sikumuona nyoka wangu....wacha nimrushie bunduki (bird gun) yule tai, sikumpata lakini. Kuchungulia vizuri nikakuta yule black adder kajificha chini kabisa ya cage kuogopa kuliwa live. Shamba (ranch) langu liko Msanga, Pwani....tafadhali msije kwa shari nina ulinzi wa kutosha....(mbwa boerboel 6, na wa kawaida 4, German Shephard 2, ni kwa ajili ya ranch tu na siwauzi pia hawazaliani (wamehasiwa wote kasoro wanaume 2 tu ambao wapo just in case kwa ajili ya mbegu hapo baadaye).
Kilichonivutia hapa GERMAN SHEPHARD hawa dog nawapenda balaa...lkn awe pure
 
Kilichonivutia hapa GERMAN SHEPHARD hawa dog nawapenda balaa...lkn awe pure


Wangu wako pure, kuna jamaa Uganda anawauza hata Karagwe wanapatikana, ndipo nilipopata wangu kuna mtu alikwenda kunichukulia Mutukula (Uganda).
 
Wangu wako pure, kuna jamaa Uganda anawauza hata Karagwe wanapatikana, ndipo nilipopata wangu kuna mtu alikwenda kunichukulia Mutukula (Uganda).
Dah sijui ntapataje mawasiliano ya huyo jamaa mkuu
 
Ni hatari kwa binadamu ila kuna viumbe wengine wanawafanya kitoweo pamoja na sumu zao
 
E253E957-11B2-4E9B-8A31-4F407DB09B81.jpeg
labda wale wenye makengeza
 
Back
Top Bottom