Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Koboko aliyekomaa wanapatikana Zibambwe Msumbiji na Namibia kwenye misitu mikubwa koboka aliyekomaa ni habari nyingine
Koboko aliyekomaa matezi yake ya sumu ninmakubwa na kila akigonga anaingiza kiasi kikubwa cha sumu (venom) ambayo hata kwa kiwango kidogo sumu yake inatosha kuuwa watu wengi,hii ndio inamfanya awe hatari,sio tu anaishia hapo anauwezo wa kugonga tena na tena..
 
Kuna yule Nyoka anaitwa Shisha au Shivangi wa kwenye Series ya Naagin,
Nyoka mbaya sana yule,
Kataka kumuua mpaka dada yake Shivanya
 
View attachment 725226
King nae anasehemu yake katika ulimwengu wa nyoka
View attachment 725229
Huyu ndio nyoka anayeweza kupambana koboko aliyekomaa.

Tatizo la King ni mviziaji tu na speed hana sio mwepesi ndo tofauti na yao na Mamba kuna mzee yupo pale inyonga siku tunaenda katavi alisema ni nyoka mwendawazimu unawekutana nae akasepa unaweza kukutanae akakuletea pila atabiliki
 
Honey badger
Huyu mroho, nyuki tu huwa mara nyingine wanamng'ata mpaka anakufa kwa uroho wake wa asali mbichi,kwanza kana harufu mbaya sana,halafu huwa akikutana na koboko aliyekomaa huwa anagongwa (pamoja na ngozi yake ngumu)mara nyingi anajazwa sumu mpaka anakufa.
 
Koboko wako wa aina nne ila koboko wanaokuwa wakubwa na hatari ni aina moja tu na huwa na rangi ya khaki hadi maji ya kunde,akikomaa sana huwa na kamng'ao kama ka silva hivi hapo ina maanisha ameshavua gamba mara nyingi sana.
Then anawika kama jogoo, akisimama wima, kimo chake kinazidi mita 2
 
Huyu mroho, nyuki tu huwa mara nyingine wanamng'ata mpaka anakufa kwa uroho wake wa asali mbichi,kwanza kana harufu mbaya sana,halafu huwa akikutana na koboko aliyekomaa huwa anagongwa (pamoja na ngozi yake ngumu)mara nyingi anajazwa sumu mpaka anakufa.

Ulivyosema mroho nimekumbuka Kabila na Nkurunzinza Uroho sometimes mbaya unaweza kufa
 
images-9.jpg

Ķoboko aliyekomaa akikukimbiza yaani hakikisha hadi mnaingia wote kenya wala usingoje passport hahaa..
 
Kwa kuongezea tu ni kwamba king cobra ana asili ya kula nyoka hivyo ktk pambano lolote lile la nyoka na mwingine na king cobra basi king cobra hupewa nafasi ya kushinda
Mara nyingi black mamba huliwa au humezwa na king cobra inapotokea wakawa na battle

Duh! Shukran sana kiongozi..nimejifunza mengi kwakweli
 
Sehemu yoyote yenye nyoka wengi fuga nguchiro. Nyoka wote watakimbia. Huyo black mamba sijui mavi ya nini! Kwa nguchiro anakuwa menu swafiii. Na kiboko ya nyoka wotee ukindoa chatu wakubwa ni mnyama anyeitwa honey bager. Anayelijuwa jina lake kwa kiswahili atuambie. Honey bager hatari sana. Black mamba. Cobra akikutana na huyu mdudu anatafuta njia nyingine.

Kwa jina la kiswahili wanamwita Nyegere huyo mnyama hafai ana wivu binadamu kasingiziwa.
 
Back
Top Bottom