Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

najua mara nyingine sisi binadamu tunakuaga kama crazy flani hivi. Yan unakuta mtu anajitengenezea tatizo kubwa kwa hata miaka 20. Cku ambayo tatizo litajitokeza sasa hapo
True! Kwenye hilo pori ndio nilimuona swila mweusii tii! Nilipomsogelea akanyanyua dishi lake alikuwa swila kwelikweli nikapiga breki nikasubiri aondoke na kweli alivyoniona nimekuwa mpole akaondoka.
 
Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!

Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!

Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Black mamba ni kama mla ganja aliyedata..hahitaji kuchokozwa wala nini..huyo nyoka ni mwehu yupo nervous sana..atakutoa nduki tu
 
True! Kwenye hilo pori ndio nilimuona swila mweusii tii! Nilipomsogelea akanyanyua dishi lake alikuwa swila kwelikweli nikapiga breki nikasubiri aondoke na kweli alivyoniona nimekuwa mpole akaondoka.
Swila muoga..mpaka umzonge ashindwe kutoka ndo shughuli utaiona..ila mamba/koboko huo ni mziki mwingine..anapenda utulivu
 
images-3.jpg

Huyu koboko ameganda barabarani sio kwamba anatembea,ila anasubiri kuwaambush wapita njia.
 
"Black Mamba mwenye ukubwa wa chatu"???..... Hebu fananua plz
Tumezoea kuona chatu wakubwa wanafugwa na watu au vikundi vya utamaduni, Black mamba aliyekomaa anaweza akafikia ukubwa huo wa chatu lakini huwezi kumpata akiwa mikononi mwa watu hata hoko snake farms huwezi. Mambas wa ukubwa huo, wapo katika mapori na misitu mikubwa na siku hizi ni wachache sana, nadhani wanauwa
 
hawa swila nao ni wa hovyo kweli ukikosea mahesabu, ila cha kushangaza hawa tabora hasa maeneo ya pembezoni mwa miji tulikua tunaishi nao

True! Kwenye hilo pori ndio nilimuona swila mweusii tii! Nilipomsogelea akanyanyua dishi lake alikuwa swila kwelikweli nikapiga breki nikasubiri aondoke na kweli alivyoniona nimekuwa mpole akaondoka.
 
Mkuu wapo arusha eneo moja wanaliita snakes park kila aina ipo pale
Arusha snake park nimeshafika mkuu, kuna Black Mamba lakini sio wa ukubwa wa kutisha ni wa size ya kawaida. Ni vigumu kumuweka Mambas aliyekomaa ukamfuga kama unavofuga chatu, hatu exaggerate lakini na hatari yake haipimiki. Hata yule mzungu wa South Africa anaeitwaga majumbani kwa watu kukamata nyoka hebu muangalie anapoitwa ku deal na Black Mamba jinsi anavyokua muangalifu kupita kiasi akimuonya na na mkewe pia. Tena Koboko wenyewe anaowafata wanakua wa size ya kawaida tu
 
Hata yule mzungu wa South Africa anaeitwaga majumbani kwa watu kukamata nyoka hebu muangalie anapoitwa ku deal na Black Mamba jinsi anavyokua muangalifu kupita kiasi akimuonya na na mkewe pia. Tena Koboko wenyewe anaowafata wanakua wa size ya kawaida tu
Huyo mzungu iko siku yake,atakutana koboko anayejua shughuli mzungu atanyooka tu.
 
Cha kufanya baada ya kupokea last warning kutoka kwa muheshimiwa Blackmamba, kumbuka wakati huu mtakuwa mmetenganishwa umbali wa either mita mbili au tatu..

1- Usithubutu kuinama kuokota chochote kwa lengo la kumshambulia.

2- Kama unafimbo na hunahakika na shambulio lako endelea kujikausha huku ukiomba sana dua.

3- Huku ukimuangalia kwa makini kwa utulivu kabisa rudi nyuma taratibu kuongeza umbali baina yako na muheshimiwa.

Ukionesha nidhamu kwa hatua hizo tatu juu, unaweza kutoka salama..!!! hapo sasa nenda dukani, kanunue soda baridi sana uipendayo na ujipooze maana mpaka kufikia hapo utakuwa umesweat vya kutosha sana!!!
 
Back
Top Bottom