Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Saw-scaled_Viper_(Echis_carinatus)_Photographed_By_Shantanu_Kuveskar.jpg
huyu ndio anashika namba moja kwa sumu kali zaidi...saw scaled viper
 
Co
Mkuu. Black mamba na Cobra mafia wakikutana face to face nani anasurrender kwake?
Cobra cha mtoto mkuu, kwanza hana kasi, ukimlinganisha na Koboko, halafu Cobra mwisho wa kushambulia anagonga si zaidi ya mara kumi, mpaka ku-genereate sumu nyingine. Koboko yeye ni mwendo mdundo hata akute kundi la ng'ombe mia, ni ndani ya nusu saa tu kisha maliza mchezo
 
Si kweli, koboko unaweza ukqpita hata Mita 2 kutoka Alipo na asikufanye kitu. Koboko ni nyoka mpole sana, kama Huna time nae wala hashughuliki nawewe. Nipo huku mpakani mwa Tabora na Kigoma, wenyeji wanasema kuwa mara nyingi Kabla hujamuona yeye anakuwa ameshakuona kitambo hivyo anakuwa anafuatilia nyendo zako na akiona huna habari naye naye anaendelea kivyake.

Ng'ombe wengi huwa wanagongwa kwasababu wao wanaingia popote bila ustaarabu na bwanamkubwa hapendi, hivyo huwagonga.

Ingawa wenyeji wanasema Kuna baadhi ni nadra huwa wanapatwa na kichaa, sasa hapo ndo tatizo na huyo huwa hatari maana anakausha hata miti Kwa strikes zake
Aisee , we unamzungumzia kifutu(viper) sio koboko
 
1.Hakuna nyoka anayeweza kum-confront mtu ,nyoka woote wanawaogopa watu kuliko watu wanavyowaogopa nyoka


2.Hakuna nyoka anayekimbiza watu huyo nyoka hayupo duniani ,Mamba ni muoga ukimfuata alipo unamuona anaondoka zake hata ukimkaribia utaona anatafuta njia ya kusepa ukimziba kulia atafungua mdomo wake na kutoa sauti Fulani hivu ssss na atageuza kushoto aondoke ...kama Hakuna sehemu utaona anajiandaa kugonga tena hakufuati anakusubiri uingie timing mita 3-1 akugonge


3.simba akimuona mtu huanza kumkimbiza na kumrarua hata usipomchokoza lkn mamba hata umchokoze hakimbizi mtu aidha atafute njia salama akimbie au atakaa in defensive mode kurudisha kichwa nyuma akila timing ya kukugonga


Kama koboko mzee hatari kuliko simba bora ukutane na simba kuliko koboko ..mnafurahisha sana ase mnavyoongopa na kuweka chumvi dah sio kwa chumvi hizi

Nafikiri unazumzia nyoka aina cobra sio mamba
 
Hapana kamata sana mamba porini na wakubwa tu ,nyoka mgumu ni spitting cobra na hawa cobra wengine kidogo wapo aggressive wanakufuata ila mamba hakufuati anatulia alipo akinesa kichwa chake umsogelee akugonge na anafungua kinywa chake anatoa sauti Fulani akikutahadharisha uondoke umuache ...ukiwa na fimbo iliyochepuka mbele dakika 2-3 unamkamata mamba ..cobras ,spitting na wengine huchukua muda kidogo sababu wasumbufu hata mamba wa futi 14 mkubwa kabisa tahadhari pekee ya kuchukua pindi unajaribu kumuua au kumkamata kaa mita 5 mbali na yy na hapo hutegemea urefu wa mamba wenyewe ,sifa ya mamba hafuati anangoja uingie kwenye timing akugonge na kichwa chake anakilinda sana ndio maana unaona anatulia na kurudisha nyuma sasa ukikaa mita 5 hivi hata ajaribu kugonga hakupati na akisogea kidogo na ww unarudi nyuma kidogo tofauti ni moja cobra atazidi kukufuata ila mamba hatofanya hivyo


Wengi wanaomzungumzia mamba wanazidisha chumvi ,na mamba wote wanafanana wana sifa zinazofanana ...ila mamba wa mitandaoni doh ila kwa real life hayupo hivyo
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjACegQICBAB&usg=AOvVaw3CXaXJXspJGlvrWHpGHbx_. Soma hapo ujiridhishe mwenyewe
 
Nafikiri unazumzia nyoka aina cobra sio mamba
Huyo nyoka akimuona mtu anaanza kumkimbiza bado hajatokea duniani na bado hajazaliwa Hakuna nyoka mwenye stamala ya kumfuata mtu na kumkimbiza shujaa huyo nyoka bado hajatokea


Mamba akikuona unamfuata anasepa kabla hujamkaribia


Spitting cobra akikuona unamfuata anasimamisha shingo lake na kutunisha kukutisha ukiwa mbishi anakurushia

King cobra ,Mozambique cobra ukimfuata kumsumbua hutunisha shingo yake na wala hakukimbizi mpaka umzibe njia atakufuata aku push back


Hizi ndio fact sifa zaidi ya hapo porojo


Huyo shujaa Anayekimbiza watu ukimpata nidai million 5


Blac
 
Hapa tunaona king cobra kaingia choo cha kike,alijaribu kumla sawaka mdogo,akamgonga nyuma ya kichwa,chatu nae akamyonga wote wakafa chatu alikufa kwa sumu kali na cobra naee alikufa kwa kukosa hewa.
Hakuna King cobra hapo
 
Sehemu yoyote yenye nyoka wengi fuga nguchiro. Nyoka wote watakimbia. Huyo black mamba sijui mavi ya nini! Kwa nguchiro anakuwa menu swafiii. Na kiboko ya nyoka wotee ukindoa chatu wakubwa ni mnyama anyeitwa honey bager. Anayelijuwa jina lake kwa kiswahili atuambie. Honey bager hatari sana. Black mamba. Cobra akikutana na huyu mdudu anatafuta njia nyingine.
 
Aisee , we unamzungumzia kifutu(viper) sio koboko
Mkuu koboko hana sifa mnazompa hana


Tena koboko hapendi usumbufu ,bughudha


Koboko mbaya ni yule hujamuona ukapita karibu naye zero distance zaidi ya hapo koboko hana madhara
 
Kuna mmasai aling'atwa na nyoka aina ya krait na taipan kwa wakati mmoja na hajafa alichokifanya alikula ugoro kwanza akaenda porini akachukua majani akasaga akajipaka eneo alilong'atwa na mpaka Leo yupo hai mmasai wa watu.
Mh! Chai hii
 
Sehemu yoyote yenye nyoka wengi fuga nguchiro. Nyoka wote watakimbia. Huyo black mamba sijui mavi ya nini! Kwa nguchiro anakuwa menu swafiii. Na kiboko ya nyoka wotee ukindoa chatu wakubwa ni mnyama anyeitwa honey bager. Anayelijuwa jina lake kwa kiswahili atuambie. Honey bager hatari sana. Black mamba. Cobra akikutana na huyu mdudu anatafuta njia nyingine.

NYEGERE.
 
Mkuu koboko hana sifa mnazompa hana


Tena koboko hapendi usumbufu ,bughudha


Koboko mbaya ni yule hujamuona ukapita karibu naye zero distance zaidi ya hapo koboko hana madhara
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjACegQICBAB&usg=AOvVaw3CXaXJXspJGlvrWHpGHbx_
Mkuu, Undefine. Link hiyo hapo jisomee mwenyewe, usibishe bila fact au data.

"During the threat display, any sudden movement by the intruder may provoke the mamba into a series of rapid strikes leading to severe envenomation.[25]"
hivyo ndivyo watafiti wanavyomsema, sasa wewe sijui unamzungumzia Koboko wa wapi.
 
Hahaha mkuu huyo Mvuta bangi ni kiburi hatari ,akila mmea hua apendi kelele kabisa sasa ukijipendekeza anga zake lalazima akuzingue tu
 
Enzi hizo nilisikia wakisema Nyoka anayewika sasa ukitaka kumuua eti ubebe Sufuria kubwa lenye uji wa Moto sijui kama ndio huyu au laaa
Hizi story za kale huwa zina ukweli na zina mafunzo makubwa,kwamba ukimuona koboko juu ya mti kaa mbali nae.
 
Back
Top Bottom