mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,743
- 6,273
Mkuu Mbongo halisi kwema huko? Aise nimetamani sana hao shepherd. Nitawapataje na mimi kiongozi wangu!
Ngoja niongee na mwakilishi wangu, akikubali nitaku-pm
Mkuu Mbongo halisi kwema huko? Aise nimetamani sana hao shepherd. Nitawapataje na mimi kiongozi wangu!
Weeee jamaaaaKuna nyoka wa huku chini nae ni hatari sana japo watu wanapenda kumtumia. Hili ndio joka hatari zaidi duniani.
Kama kuna mwenye picha yake anisaidie kuweka mie nimeshindwa tafadhali.
Ni Hatari Sana.
Ahsante.
Black Mamba kamwe hakimbii Hatariii NEVER... Jamaa huwa anaikimbiza hatarii!! Afuu koboko mkubwa anaweza toa sauti kubwaa kama kufoka hivi... Wanyama wakiisikia mbioo... Ni nyokaa anaegongaa bila Kuacha meno soo anaweza gonga watu hata 100 kwa muda mchache sanaaa...Na speed yake sio ya nchi hii

kipalanonga ndio yupi tena mkuu?Huyu anaweza kuwa kipalanonga huyu.
Kuna mmasai aling'atwa na nyoka aina ya krait na taipan kwa wakati mmoja na hajafa alichokifanya alikula ugoro kwanza akaenda porini akachukua majani akasaga akajipaka eneo alilong'atwa na mpaka Leo yupo hai mmasai wa watu.![]()
![]()
![]()
ya kwel hayo bibieAhhahahahahaha,ikabidi nicheke maana hamna namnaMwenye vichwa saba wew ushawai kumuona wap??afu hao ni nyoka hatari duniani sio nyoka wenye vichwa vingi duniani.
Mkuu unakula mayai ya nyoka?mayai ya black mamba ni matamu sana, ila upatikanaji wake ndio changa moto. mie kuna sehemu tulikua kambi maeneo ya tabora tukawa pale ambapo tunapumzika , kwa juu yake palikua ni makazi yake jioni, wakati anarudi nae kupumzika ibabi muiache njia kwa mda apite , tofauti na hapo ugovi unakua umeutafuta mwenyewe na mmoja tulimuua
Hahahahhhhha,Uyo koboko nikiwa tabora kuna mzee alikuwa anafanya biashara za Uyoga hivyo alikuwa anafuata porini hasa maeneo yenye vichuguu sana na miti mikubwa.
Akiwa katika harakati zake siku moja porini kulikuwa na mahali pana mti wa mkwaju mkubwa pia chini kichuguu kukawa na uyoga mwingi sana alivunaa wakitosha sasa kama zali tu akiwa kainama anafunga funga mzigo wake ananyuka shati ikanasa katika kijimti tu ile anainama akitoe anakwambia alisikia kitu kimepita kichwani mwake pembeni kwa speed kubwa sana then kikajibamiza chini kwanguvu sana.
Akiwa kapigwa butwaa kutahamaki kumbe ndiyo huyo KOBOKO sasa alikosea target yule Mzee aliishiwa nguvu alimtazama yule nyoka akijinyoga nyoga palee GHAFLA ndiyo likaja wazo KIMBIA huyo koboko amekukosa ndiyo kuacha kila kitu pale pale. Na ikawa mwisho wa biashara ya UYOGA. Ni NYOKA HATARI SANA.
Dah! Hii ingefaa kuigwa na binadamu. Wiki nne Za mgegedo non stop! Hebu fikiriaTaipan na desert viper ni hatari.pia king cobra wa kuogopwa!jana nilikuwa naangalia documentary ya anaconda nilishangaa sana wale nyoka wanafanya mapenzi kwa wiki nne bila kuachiana.wamenatana tu huku dudu zao zipo ndani.ni shida
Ndio, ni mazuri sana na yana virutubisho vya kutoshaMkuu unakula mayai ya nyoka?