Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Nasema hivi haya maneno hata kwenye khanga yapo weka ushahidi.
Ndio siku nyingne uache kuongea vitu vya ajabu ajabu mbele za watu wenye akili zao, wako nyoka wanaotegemea ukubwa wao mfano chatu, lakn sio huyu, huyu ni sumu tu... na hiyo sumu haifanyi kazi kwa honey burger... awe mkubwa namna gani akikutana na haka kajamaa lazima aliwe
 
Ngozi ya baja huwa inapenyeka, kama huyu alivyochomwa na mishale ya nungunungu.
images-18.jpg
 
Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!

Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!

Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Black mamba si ndio wale wanaitwa Swira ambao Tabora anajulikana kwa jina la Koboko?
 
huku sio kwangu kabisa, hizi vitu huwa zinanisumbua sana kichwa, kitu kinachoitwa nyoka kwangu ni shida sana hapakaliki leo
Kimsingi nyoka wengi ni wastaarabu sana na kama unajijua huna uwezo wa kumdhibiti ni bora umwache apite zake maana ukimchokoza ukamjeruhi alafu akasepa maana yake atakuwa adui na binadamu na kila akikatiza binadamu anakula za uso hata kama kapita kimyakimya (hii ni kwa wanyama karibu wote wa porini)
 
Ushahidi wa nn?? hizo video wamekutumia huko sio ushahid??

mongoose na hao wala asali hawadhurik na sumu ya nyoka...
Wewe weka link ambayo inaonyesha koboko aliyekomaa akiliwa na honey badger.
 
View attachment 724994
Huyu bado hajakomaa akikomaa huyu anakuwa mara tatu yake na unene unaongezeka.
Hapa unasema HAJAKOMAA???



nyoka mkubwa alie komaa anaanzia mita 2... wastan hua ni mita 3, ni rare cases wanapatikana mita 4


Hiyo kwenye picha hafiki mita tatu??? usikute unajadil kitu kingine tofaut na tunacho jadili hapa
 
Zoom hiyo picha hapo juu halafu tafuta mkia ulipo halafu fanya tuhesabu twako twa uswahilini.
 
Sio honey badger tu, hata mongoose na udogo wake, anakula vizuri tu huyu huyu nyoka,

Silaha ya huyu nyoka sio SIZE, ni SUMU... sumu hazifui dafu kwa hawa viumbe... 25% ya mlo wa honey badger ni NYOKA.. ni rest ni ASALI na wadudu
Volume ya sumu atakayodungwa huyo baja wako ndio itakayomuua..anyway weka ushahidi.
 
Volume ya sumu atakayodungwa huyo baja wako ndio itakayomuua
Haya mambo Nature, ndivyo walivyo umbwa, it's down to nature, Honey badger atakula nyoka, n nature

yan n sawa na useme swala akimpiga simba pembe ya tumbo anamuua, it might happen, ila cases za hvyo ni karibu na sifuri kabisa

single bite ya honey badger kwenye kichwa cha nyoka tu n kifo..

honey badger na nyoka ni mlaji na mlwaji, huyo koboko hana chance yeyote mbele ya huyu kiumbe... na nyoka zoote zilizoko kwenye menu ya honey badger, zote zinaliwa tu


Mtihan ni hao nyoka vs sisi, au nyoka vs wanyama wengine sio vs mongoose au honey badger na dragon(sijui ndio inaitwa hv, jamii moja ya mjus mkubwa size ya mamba hv, hua wanashika nyoka katikat wanabamiza chini hadi anakufa)
 
Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!

Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!

Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Mkuu huwezi sema kuwa koboko ni mpole hadi umchokoze, si kweli.
Koboko ni nyoka anaye-attack hata bila kumchokoza.
Na akiishauma mtu mara moja basi husala na kuanza kuvizia kuuma watu ovyo.
Mkitaka kumuangamiza, lazima mkusanyike watu wengi majasiri na fimbo fupifupi kwa ajili ya kumrushia.
Fimbo moja ikimgusa tu hana ujanja.
Ama kuchemsha sufuria la uji na kujitwisha kichwani. Hupendelea kung'ata kichwani, basi akija kung'ata, kichwa kikigusa uji ndo mwisho wake.
 
Mkuu nimekusoma posts zako karibu zote, inaelekea unafuatilia sana haya makitu
Kutokana na kazi yangu ya udereva nilikuwa nashangazwa sana na viumbe hivi baada ya kukutana navyo mara kwa mara nikaone nivifuatilie.
 
Back
Top Bottom