Atakifikia wapi kichwa cha koboko aliekomaa kiko hewani kinagonga tena na tena .
Mkuu, unadhan utendaj wako wa kazi unafanana na wawanyama sio? nenda kaangalie anavyoliwa, Hao wanyama wana reflex action za speed ajabu Koboko aliyekomaa yuko fasta kuliko huyo nyegere na huwa anagonga mara nyingi na anasumu nyingi,huyo mongoose huwa anapima akiona kitu kimekomaa hua anakimbia .deadly mistake ni nyoka kujaribu kumgonga honey, viko sharp kama umeme
Thubutu, thubutu, hakuna nyoka ataweza mgonga mara mbili tatu alafu huyo nyoka aendelee kubaki salama... ukiangalia video, mara nying sana yani ile first attempt tu hua ni hiyo hiyo hesabu limekwisha, mda mwingi unapoteaga kwenye kukimbizana sio kupiganaKoboko aliyekomaa yuko fasta kuliko huyo nyegere na huwa anagonga mara nyingi na anasumu nyingi,huyo mongoose huwa anapima akiona kitu kimekoma hua anakimbia .
Nyegere uko wapi nyegere hahahahaha..kwikwikwiiiThubutu, thubutu,
Uko sahihi mkuu, kidunia wanajulikana kama blackmamba ila locally tunawaita koboko...Black mamba si ndio wale wanaitwa Swira ambao Tabora anajulikana kwa jina la Koboko?
Cobra ni swila kiswahili.Uko sahihi mkuu, kidunia wanajulikana kama blackmamba ila locally tunawaita koboko...
Hawa Tabora ni nyoka wa kawaida wakazi wa kule wamewazoeaUko sahihi mkuu, kidunia wanajulikana kama blackmamba ila locally tunawaita koboko...
Kumbe una gari!!!Mimi huwa nautafutaga ujasiri wa wale wanao weka nyoka shingoni.....Mimi hata kumkanyaga na gari nimesha shindwa
Kwanza nyoka huwa hawasikii kama sisi kwasababu hawana masikio ya nje kama sisi,ni sawasawa na wewe ukiziba masikio,ila vibrations huwa wanasikia ila muziki hauwezi kuwavutia mpaka adondoke kutoka juu ya mti kama mziki utakuwa ni mkubwa ataangushwa na vibrations.Nasikia panapo mziki unapolindima au kwa Radio wanasema inamliwaza kama yupo juu ya mti Anaweza kuanguka kwa kusilizia milindimo ni kweli kwa Aina ya nyoka?