imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,404
Pale duka mbovu yule koboko bado mdogo sana.Mkuu wapo arusha eneo moja wanaliita snakes park kila aina ipo pale
Pale duka mbovu yule koboko bado mdogo sana.Mkuu wapo arusha eneo moja wanaliita snakes park kila aina ipo pale
Yap asee. Mateso pia ni fundisho,kusahau ama kukumbuka ni sehemu tu ya kuendelea kujifunza mkuuila unajifunza mengi , mie huko na miaka zaidi ya kumi sijafika tena
Mkuu kwaiyo yapo makubwa kuliko lile mimi nikikutana naye kabla ajanigonga nitakuwa nimeshakufa kwa pressure yani pale wapo kwenye vile vioo lakini nilikuwa ata sisogelei karibuPale duka mbovu yule koboko bado mdogo sana.
Si kweli, koboko unaweza ukqpita hata Mita 2 kutoka Alipo na asikufanye kitu. Koboko ni nyoka mpole sana, kama Huna time nae wala hashughuliki nawewe. Nipo huku mpakani mwa Tabora na Kigoma, wenyeji wanasema kuwa mara nyingi Kabla hujamuona yeye anakuwa ameshakuona kitambo hivyo anakuwa anafuatilia nyendo zako na akiona huna habari naye naye anaendelea kivyake.Ni kweli kabisa, kutana na hao wengine wote Ila sio koboko, ukizisoma tafiti zao, hao nyoka wengine hujaribu kuepusha shari hata ukikutana nae.
Koboko yeye huepusha shari asikutane na wewe kabisa, Ila sasa akikuona tu, hajui kama uliingia anga zake kwa bahati mbaya ama la, yeye ni tifu kwa kwenda mbele. Kwa kifupi, tofauti na hao wengine, yeye ukikutana nae sali sala zako za mwisho.
Kama ni miaka mo thn 10 yrs basi hata mapor yale utakuwa umeanza kuyasahau mzee... See dat image hayo ndo pori za kuleila unajifunza mengi , mie huko na miaka zaidi ya kumi sijafika tena
Ni kweli, ila kwenye zile hifadhi na pale mto koga watu walishaondolewa.pia nafikiri kwa sasa ivi wanaweza kuwa wamepungua kutokana na shughuli nyingi za kibinadamu kusogea kwenye misitu ya asiri
Hapa tunaona king cobra kaingia choo cha kike,alijaribu kumla sawaka mdogo,akamgonga nyuma ya kichwa,chatu nae akamyonga wote wakafa chatu alikufa kwa sumu kali na cobra naee alikufa kwa kukosa hewa.
Kama ni miaka mo thn 10 yrs basi hata mapor yale utakuwa umeanza kuyasahau mzee... See dat image hayo ndo pori za kule
Black Mamba kamwe hakimbii Hatariii NEVER... Jamaa huwa anaikimbiza hatarii!! Afuu koboko mkubwa anaweza toa sauti kubwaa kama kufoka hivi... Wanyama wakiisikia mbioo... Ni nyokaa anaegongaa bila Kuacha meno soo anaweza gonga watu hata 100 kwa muda mchache sanaaa...Na speed yake sio ya nchi hii
Ya mwaka 2015tatizo la kule, misitu mingi inaharibiwa na wakata mbao na shughuli zingine za kibinadamu.. miaka ya nyuma unapo elekea sikonge, unaanza kuhisi harufu ya misitu toka ukiwa huko kipara para, ina sasa ivi shughuli za binadamu zimeharibu kila kitu nahisi hata hao nyoka kwa kipindi hiki wamepungua. hii picha ni ya mwaka jana ?
Wacha tu,wakiyamalizs mapori koboko wataingia mjini hapo sasa.wakata mbao na shughuli zingine za kibinadamu.. miaka ya nyuma unapo elekea sikonge,
Itabidi raia waende kwenye mapori walioyakata wenyewe.Hahahahahahaaaaa mkuu nimecheka sana,wakimaliza mapori koboko wataingia mjini THN RAIA WATAENDA WAPI???
Wacha tu,wakiyamalizs mapori koboko wataingia mjini hapo sasa.
Wacha tu,wakiyamalizs mapori koboko wataingia mjini hapo sasa.
Unajua mara nyingine sisi binadamu tunakuaga kama crazy flani hivi. Yan unakuta mtu anajitengenezea tatizo kubwa kwa hata miaka 20. Cku ambayo tatizo litajitokeza sasa hapo ndo utaona anastuka na kuanza kuangaika kumaliza tatizo ama hata kulikimbia akat chanzo ni yeye mwenyew. Ndo tabora na koboko wanapoelekea sasaItabidi raia waende kwenye mapori walioyakata wenyewe.
Mkuu wewe unajua Nyoka na unajua techniques za kumkamata. Ukikutana na mamba na una fimbo ndefu hata kama amefura Kwa hasira na ukakaa nje striking zone yake hakusogelei na hajaribu, kwasababu tofauti na nyoka au viumbe wengine, Black mamba strikes zake huwa calculated na so deadly, anatumia akili zaidi.Njia ulizotoa sio sahihi black mamba unamkamata nipe fimbo nakukamatia mamba bila kumjeruhi wala kumuua
Mamba akikuona unamfuata anasepa zake ila ukimziba na hana sehemu ya kutoka atarudisha shingo,kichwa nyuma akisubiri umsogelee mita 2 akudonoe only way kaa mita 5 ukiwa na upinde wa fimbo unamkamata
Mamba mbaya ni yule hujamuona ukapita karibu yake bali na hivyo si tishio