Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Sehemu yoyote yenye nyoka wengi fuga nguchiro. Nyoka wote watakimbia. Huyo black mamba sijui mavi ya nini! Kwa nguchiro anakuwa menu swafiii. Na kiboko ya nyoka wotee ukindoa chatu wakubwa ni mnyama anyeitwa honey bager. Anayelijuwa jina lake kwa kiswahili atuambie. Honey bager hatari sana. Black mamba. Cobra akikutana na huyu mdudu anatafuta njia nyingine.
Anaitwa nyegere
 
Kuna nyoka wa huku chini nae ni hatari sana japo watu wanapenda kumtumia. Hili ndio joka hatari zaidi duniani.

Kama kuna mwenye picha yake anisaidie kuweka mie nimeshindwa tafadhali.

Ni Hatari Sana.

Ahsante.
ha ha we kweli nyoka wa chini.
 
Mkuu unadhani huko tabora wanaenda sokoni na wao au kwenye vijiwe vya tumbaku mpaka watu wahame?

Kwa umri ulionao mpaka sasa umeshasikia wawindaji wangapi, wakulima wangapi, wafugaji(wachungaji), wanyama pori wangapi au ng'ombe wangapi wameuwa na nyoka hatari(koboko) huko Tabora?
 
Tim-Friede-man-lets-poisonous-snakes-bite-him.jpg

Tim Friede huyu jamaa amefanikiwa kujidunga sumu za nyoka hatari,alikuwa anajidunga kidogo kidogo hatimae akaanza kuwarusu nyoka kama koboko mdogo na inland taipan kumgonga,ila sidhani kama anaweza kumruhusu king cobra na koboko aliyekomaa.
 
Hao wanaitwa Spotted bush snake!! wanakua na rangi ya kijani lakin na vidoa doa vyeusi hawa HAWANA SUMU ukitaka kumtofautisha na GREEN MAMBA huyu yeye hana madoa meusi huyu yupo tupical Kijani ni hatari sana ILA hao wajuu ambao ni wana madoa meusi wao wanapenda sana kuwinda wadudu na vijichura vidogo hawana shida

Asante mkuu. Nimekupata vizuri.
 
Swila sumu yake ikikuacha sehemu alipokugonga hapakuachi tofauti na koboko.
nNxee6XQbR0.jpg
 
images-15.jpg
images-20.jpg

Huyu kipili wa Gaboon ndiye nyoka mwenye meno marefu kuliko woote inchi mbili,akikugonga huyu unaanza kuoza ndio ufe.
 
nakumbuka miaka ya 2008 iv nilienda bush kijiji kina itwa mbamba kipo kilosa mpakani na mbuga ya mikumi nipo na baiskeli nikaona joka kubwa limekatisha barabara nikasimama ghafla na lenyewe likasimama kuniangalia kimadaha then likasepa ilichukua sekunde kadhaa lile joka kukatisha ile barabara sijawahi kuona nyoka mkubwa kama yule (black mamba) halafu useme eti hafukuzi dhubutu
 
VenomManSnake-793x526.jpg

Hapa Tim Friede akimruhusu koboko mdogo amng'ate.
da7619dfacfb192c0fa0b38de0677a70_400x400.jpeg

Hapa anamruhusu rattle snake amng'ate.
images-19.jpg

Hapa anamruhusu koboko mdogo amng'ate.
Huyu jamaa amesharuhusu nyoka wengi kumng'ata anasema kwa sasa sumu za nyoka haziwezi kumdhuru..ndio anavyosema.
 
Niwekee link ya baja akimla koboko aliyekomaa usiniwekee koboko waliotolewa meno.
Waswahili wanasema Ujinga ni zigo la mavi

Kwahiyo wewe akili yako inakutuma kwamba Honey burger atauwawa na koboko kwasababu ya UKUBWA AU UKOMAVU WA KOBOKO??? hiyo smart phone yako unatumia kuangalia porn tu au???

Silaha ya huyu nyoka sio Size, ni sumu yake, hiyo sumu haimdhuru honey burger, hata amgonge mara ngapi, simu inachofanikiwa kufanya ni kumchosha honey burger ila haina madhara yeyote kwake... Wakati huo huo single bite ya honey kwenye kichwa cha nyoka ni kifo
 
Haya maneno ya kwenye khanga hayana maana weka ushahidi.
Badili matumiz ya simu yako, tumia kujifunza

Honey burger wana IMMUNE na hizo sumu, haziwadhuru....hawez uawa na nyoka kwa njia ya SUMU, sumu inachoweza fanya kwenye mwili wa huyu kiumbe n uchovu tu, sisi viumbe wengine ndio tunadhurika na sumu ila sio hao honey burger
 
Back
Top Bottom