Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,065
- 1,540
Kweli Mkuu Akila bangi anakimbiza hadi gari![]()
![]()
mkuu ni kweli au utani
Kweli Mkuu Akila bangi anakimbiza hadi gari![]()
![]()
mkuu ni kweli au utani
Kwa kuongezea tu ni kwamba king cobra ana asili ya kula nyoka hivyo ktk pambano lolote lile la nyoka na mwingine na king cobra basi king cobra hupewa nafasi ya kushindaAsante mkuu.upo vizuri sana...God bless you
King cobra hasumbuliwi na nyoka mwingine zaidi ya cobra mwenzake ambae utakuta wanagombea himaya lkn hawa wengine wanatafunwa kama uchafu hasa huyo koboko ndo mchumba kabisa aiseeHapo bado kuna mjadala, hivi king aliyekomaa akikutana na koboko aliyekomaa sijui itakuwaje.
King cobra hasumbuliwi na nyoka mwingine zaidi ya cobra mwenzake ambae utakuta wanagombea himaya lkn hawa wengine wanatafunwa kama uchafu hasa huyo koboko ndo mchumba kabisa aisee[/ king cobra anakula nyoka wadogo wadogo mamba aliyekomaa awezi kumsogelea
King cobra hasumbuliwi na nyoka mwingine zaidi ya cobra mwenzake ambae utakuta wanagombea himaya lkn hawa wengine wanatafunwa kama uchafu hasa huyo koboko ndo mchumba kabisa aisee
Hao wanaitwa Spotted bush snake!! wanakua na rangi ya kijani lakin na vidoa doa vyeusi hawa HAWANA SUMU ukitaka kumtofautisha na GREEN MAMBA huyu yeye hana madoa meusi huyu yupo tupical Kijani ni hatari sana ILA hao wajuu ambao ni wana madoa meusi wao wanapenda sana kuwinda wadudu na vijichura vidogo hawana shidaHawa ndiyo wale wanaopenda kuishi kwenye miti?
Kama ni hao basi walinisamehe tu maana kuna siku aliingia ndani nikamuua bila kusababisha madhara kwangu. ila siku nyingine aliingia ndani nikamsaka nikamkosa, nikaamua kuacha mlango wazi na kukaa mbali. baada ya muda nilimuona anatoka nje mwenyewe. Sikuona ukorofi wao. Kuhusu kuwa na sumu kali, mi sijui.
Koboko (black mamba) huyu yeye kama akiingia katika makazi ya watu kama mji/mitaa/hostel huwa mpole na hujificha kwa kujilinda na tahadhari hapo anakua hana uwezo wa kukimbiza mtu wala nin ila hujificha na kujilinda as defensive mechanism!!! alaf kitu kingine huyu Koboko yeye atemi sumu(spitting venom) bali hungata(bite) ndo maana watalaam wanamuhofia sana Cobra maana yule anauwezo wa kutema sumu mfululizo bila kukata na sumu iyo kuleta madhara!!!!View attachment 724186
Koboko aliyekomaa kama huyu hana mpinzani huwa analaza kundi la ng'ombe,sasa wataalam wanakuambia eti huwa akikuona anakimbia...wataalam wengi walishakufa sasa wanataka na sisi raia wema tuwafuate huko waliko.
Mkuu huo msitu hatar sana koboko wa pale wanapenda sifa balaah





wanakutafutia kiki liveeUnajua hawa nyoka wawili MAMBA'S NA COBRA wanatofautia vitu vingi...King cobra ameitwa king sababu hio anawala cobra wenzie na nyoka wengine wenye sumu halafu king anakuwa na ukubwa kuliko nyoka wengine wote ..,puffadder na nyoka wengineo wapo kwenye diet ya king cobra
Koboko na king wapo mazingira tofauti hivyo hawawezi kukutana lakini youtube kuna video kadhaa ikionyesha king akimla koboko mkubwa wakiwa kwenye farm.
Nikiwa nasoma urambo kijiji ki1 kinaitwa songambele, niliwahi shuhudia ng'ombe kama 20 wameuwawa na koboko kwa muda huo huo, hapo ndipo nilipoona msukuma akilia kilio ambacho sijapata ona binadamu akilia vile, manake alishangaa kuona mifugo yake inadondoka tu, anakuja muona koboko keshafanya yake, akasepa kama mwanga wa radi, nikasema kweli huyu nyoka ni hatari aiseeHakuna koboko huyo duniani
Ni simba ,chui,nyati,kiboko wanaokimbiza watu na wanyama wengine kama faru
Koboko akikuona unamfuata anaondoka zake hata ukimkaribita mita 4 atajirudi nyuma akijitayarisha kukugonga na hapo hapo anatafuta njia ya kusepa ,na atafanya juu chini aku avoid utamuona anakimbia ukimfuata kushoto anaenda kulia ila akiwa stand by
Koboko akikasirika anakukimbiza narudia tena hakuna koboko huyo ,koboko uliyemuona ndio mzuri kuliko koboko usiyemuona
Mkuu mie ni shuhuda, nilishawahi kuona clip hii kwenye nat geo wild channel, huyo katoa fupi tu, ni kweli ile anamng'ata hasa, na simba anakija onyeshwa keshakufa. Nenda youtube ipo ingawa mie nikina kwenye hiyo channel kama documentaryHii picha sio kweli
Huyo simba alikuwa amekufa "mzoga" mamba anatembea zake kuona mzoga akanusa kisha akagonga
Sio huko tu hata hapa nyumban tanzania ndani ya JWTZ kuna kikosi maalumu( Special force) Kinaitwa BLACK MAMBA( KOBOKO) ndicho kilichowezesha kumuondoa Idd Amin na majeshi yake TZ na UG...na Pia ndicho kilichoongoza mapigano ya kukiondoa kikundi naweza kukiita cha wahauni (M23) huko Congo chini ya mwanaume Maj gen Mwakibolwa!!!View attachment 724339
Ladysmith black mambazo, hii ni bendi ya muziki inayomuhusudu koboko.huko Afrika kusini.
by the time alikua ni Maj General ila kwa sasa ameshastaafu kwa cheo cha luten General!!! huyu alikua mwanaume haswaaaSio huko tu hata hapa nyumban tanzania ndani ya JWTZ kuna kikosi maalumu( Special force) Kinaitwa BLACK MAMBA( KOBOKO) ndicho kilichowezesha kumuondoa Idd Amin na majeshi yake TZ na UG...na Pia ndicho kilichoongoza mapigano ya kukiondoa kikundi naweza kukiita cha wahauni (M23) huko Congo chini ya mwanaume Maj gen Mwakibolwa!!!
Nyoka wa darNasikia nyoka wana aibu sana![]()
Kwa sababu viumbe hivi haviwezi kukutana katika hali ya kawaida na wanaishi mbali mbali king anaishi asia ya kuanzia bara hindi kwenda mashariki,na koboko anaishi kuanzia Ethiopia kushuka chini mpaka sauzi,ila kama wakipambanishwa kwenye ulingo kati yao na koboko anatakiwa awe amekomaa kwelikweli woote wanaweza kufa kwa sumu zao.King cobra hasumbuliwi na nyoka mwingine zaidi ya cobra mwenzake