Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Pia Mambas au Koboko hawa wana aina flani ya Aibu ndo maana hawapendi makazi ya binadamu wanapenda kuish mbali na binadamu
Hahaha mkuu yule kiumbe ajawahi kua na aibu ila apendi kelele ndiyo mana akai karibu na binadam au viumbe wengine wenye Kelele na kama amekula bangi au tumbaku ndo kabisa ataki zengwe
 
Black-mamba-resting-in-a-shrub.jpg
Black-mamba-resting-in-a-shrub.jpg
Tofauti ya swila na cobra ni ipi
Swila ambae huwa anajulikana sana kwa kuwa huwa akitishika anavimba kama ngao kwenye shingo yake na kuna baadhi yao hurusha sumu (mate)
images-4.jpg

Koboko aliyekomaa yeye huwa mrefu sana halafu ni mwepesi sana kushambulia huwa anafikia urefu wa mita kumi na nane na kuendelea.
 

Attachments

  • Black-mamba-resting-in-a-shrub.jpg
    Black-mamba-resting-in-a-shrub.jpg
    22.3 KB · Views: 95
Mkuu mie ni shuhuda, nilishawahi kuona clip hii kwenye nat geo wild channel, huyo katoa fupi tu, ni kweli ile anamng'ata hasa, na simba anakija onyeshwa keshakufa. Nenda youtube ipo ingawa mie nikina kwenye hiyo channel kama documentary
Ninayo hiyo video,simba alikuwa ameshakufa na nzi wamemjalia.
 
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjACegQICBAB&usg=AOvVaw3CXaXJXspJGlvrWHpGHbx_
Mkuu, Undefine. Link hiyo hapo jisomee mwenyewe, usibishe bila fact au data.

"During the threat display, any sudden movement by the intruder may provoke the mamba into a series of rapid strikes leading to severe envenomation.[25]"
hivyo ndivyo watafiti wanavyomsema, sasa wewe sijui unamzungumzia Koboko wa wapi.
IMG-20180325-WA0001.jpeg



Umenipa source ya wikiedia nimepitia maelezo humu na machache umeotodhesha hapo juu.

Wikipedia kwenye tishio mamba anafungua mdomo wake na kutoa sauti na mamba ana uwezo wa kugonga kwa idadi kubwa kwa mafanikio..sumu yake ina neurotoxins nk nk...licha ya tabia yake ya kuwa aggressivr ,mamba huwa anakimbia anaondoka akiona watu unless mpaka awe ametishiwa au cornered amezingirwa ,kabanwa hana pakutoka


Nb:sasa mkuu haya maelezo ya Wikipedia k na hoja zangu zinatofauti gani?...comments zangu zote nimesema hakuna mamba anayekimbiza watu kama mnavyodai nikasema mamba akiniona namfuata atajiondokea zake na hata nikimkimbilia atatafuta njia ya kusepa nikimbana kulia atageuza kushoto huku kichwa chake akikisimamisha na kurudisha nyuma na akiwa kabanwa anatulia ila shingo anairudisha nyuma akisubiria time akugonge na hata akikufuata haizidi mita 3 tena kwa tahadhari huku akirudisha kichwa nyuma ndivyo nilivyosema mm hivi

Kipitia hoja hizi za Wikipedia wanakubaliana na mimi na hakuna mamba au nyoka anayekimbiza watu hakuna

Na hio ya kubanwa kuwa cornered kila nyoka kuanzia king cobra,mozambique cobra,viper,nk huwa wanakaa in defence mode kujilinda kwa kukaa mkao wa kugonga kasoro spitting cobra huwa hakubali asogelewe mita 10 huwa anatunisha shingo na kuanza kutema

Mjadala umefungwa

Koboko mnayemzungumzia humu jamii forum hayupo duniani link ya wikipedia uliyoitoa ina support hoja zangu.
 
Hapana kamata sana mamba porini na wakubwa tu ,nyoka mgumu ni spitting cobra na hawa cobra wengine kidogo wapo aggressive wanakufuata ila mamba hakufuati anatulia alipo akinesa kichwa chake umsogelee akugonge na anafungua kinywa chake anatoa sauti Fulani akikutahadharisha uondoke umuache ...ukiwa na fimbo iliyochepuka mbele dakika 2-3 unamkamata mamba ..cobras ,spitting na wengine huchukua muda kidogo sababu wasumbufu hata mamba wa futi 14 mkubwa kabisa tahadhari pekee ya kuchukua pindi unajaribu kumuua au kumkamata kaa mita 5 mbali na yy na hapo hutegemea urefu wa mamba wenyewe ,sifa ya mamba hafuati anangoja uingie kwenye timing akugonge na kichwa chake anakilinda sana ndio maana unaona anatulia na kurudisha nyuma sasa ukikaa mita 5 hivi hata ajaribu kugonga hakupati na akisogea kidogo na ww unarudi nyuma kidogo tofauti ni moja cobra atazidi kukufuata ila mamba hatofanya hivyo


Wengi wanaomzungumzia mamba wanazidisha chumvi ,na mamba wote wanafanana wana sifa zinazofanana ...ila mamba wa mitandaoni doh ila kwa real life hayupo hivyo
Wikipedia yako ina support comment yangu
 
Huyu atnawasumbua koboko wadogo wadogo ila kitu kilichokomaa huwa anagogwa mpaka anakufa na uroho wake.
Siyo kweli mjomba.ingia you tube uone jinsi huyo koboko anavyotafuta pa kukimbilia. Search honey bagers hunting black mambas snakes uone moto wake..
 
Njia ulizotoa sio sahihi black mamba unamkamata nipe fimbo nakukamatia mamba bila kumjeruhi wala kumuua

Mamba akikuona unamfuata anasepa zake ila ukimziba na hana sehemu ya kutoka atarudisha shingo,kichwa nyuma akisubiri umsogelee mita 2 akudonoe only way kaa mita 5 ukiwa na upinde wa fimbo unamkamata

Mamba mbaya ni yule hujamuona ukapita karibu yake bali na hivyo si tishio
ngoloko wikiedia yako ina support comment yangu
 
Kuna mzungu aligongwa na koboko mdogo,kwa bahati nzuri akapona,alikuwa anasema baada tu ya kugongwa alikuwa anahisi kuna wadudu wanatembea kwenye mishipa ya damu kwa dakika kumi na tano moyo ukaanza kumuuma,akaanguka na kupoteza fahamu,ilibidi adungwe shot saba za antivenin,kama angekutana na koboko aliyekomaa angegongwa kwenye shingo mara mbili au tatu..ni hapohapo.
 
Siyo kweli mjomba.ingia you tube uone jinsi huyo koboko anavyotafuta pa kukimbilia. Search honey bagers hunting black mambas snakes uone moto wake..
Niwekee link ya baja akimla koboko aliyekomaa usiniwekee koboko waliotolewa meno.
 
Ninayo hiyo video,simba alikuwa ameshakufa na nzi wamemjalia.
Sumu ya koboko huwa inatumika kumdigest mnyama kama panya nk.kwenye mwili wa wanyama wakubwa sumu hufanya mwili kuwa mweusi na kuanza kuoza haraka.
 
Niwekee link ya baja akimla koboko aliyekomaa usiniwekee koboko waliotolewa meno.
.
Angalia hii. Huyu ni chatu mkubwa analiwa na honey badger. Chatu ni mkubwa 100 times zaidi ya huyo koboko wako.
 
Koboko mnayemzungumzia humu jamii forum hayupo duniani link ya wikipedia uliyoitoa ina support hoja zangu.
Unatuletea koboko wa kwenye wikipedia..haah!!? Mtu yoyote anaweza kuweka upuuzi wake!!..sisi tunakupa facts..kutoka mapori makubwa hapa hapa afrika.
 
Back
Top Bottom