Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Koboko akimshambulia camera man,hawa koboko wadogo wa kukodi kwa ajili ya videos huwa tayari wameshatolewa venom glands, ili kwamba hata ikitokea ajali wakakung'ata wasiwe na madhara,kama huyu jamaa.
article-2180577-14465251000005DC-295_634x462.jpg
 
Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!

Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!

Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
dk 20 kwa maumivu yake hata kuandika utaweza kweli.
 
Mkuu kwa sumu ya nyoka hakili inakuwa ishajamu kabisa
Ukishajua tayari umeshagongwa na koboko,kifo ni kuanzia dk5 inategemea umegongwa wapi kama ni kifuani karibu na moyo au shingoni na kichwani kifo ni ndani ya dk5mpaka 7 unakuwa hata muda wa kupiga simu na kuwaaga uwapendao huna, lakini ukigongwa kavu (dry bite)kitu ambacho koboko huwa ni nadra sana,basi unaweza ukakaa mahala ukapiga simu likifika lisaa hujaanza kutokwa na jasho kali basi jua umepona.
 
View attachment 724115
Koboko aliyekomaa ni nyoka hatari duniani,walla usisikilize sijui wataalam wewe ukiona kitu saizi hii wewe kimbia
Kweli kabisa mkuu, ukikutana na balaa kama hii cha kwanza ni kuangalia miguu kama ina nguvu za kutosha cha pili kutoka nduki huku ukiwa unasali...mambo ya wataalam utayakumbuka ukisalimika!!
 
Kweli kabisa mkuu, ukikutana na balaa kama hii cha kwanza ni kuangalia miguu kama ina nguvu za kutosha cha pili kutoka nduki huku ukiwa unasali...mambo ya wataalam utayakumbuka ukisalimika!!
Hahaa😀 huyo koboko amekomaa akiamua kukukimbiza huchukui raundi.
 
Siongelei duniani, siongelei tafiti maslahi, naongelea ukweli na uhalisia wa Koboko mkubwa kama huyo alieonyeshwa na mdau katika picha. ni uhalisia wa kua nimekaa katika maeneo husika yaliyosheheni nyoka huyo. Unapokua porini ukakutana nae mara nyingi yeye ndio anakua amesogea kutoka huko alipo. Akiona ni binadamu na kama kama kuna kaumbali kiasi ata back off na kuondoka. Lakini mkikutana katika distance fupi uso kwa uso na uanze kukimbia Black mamba hasa wa ukubwa huo niliousema anakukimbiza kwa speed na hauta fikisha hata mita tano atakugonga several time na atakimbia. Anafanya hivo kw amifugo na anafanya hivo kwa binadamu, consult your books again pal
Sasa mkuu kama nikikutana nae uso kwa uso ananimaliza, ni njia gan za kijikinga mkikutana uso kwa uso?
 
Mimi hilo pori nalijua sana kuanzia Sikonge mpaka Inyonga sasa kwenye hilo pori koboko waliokomaa ni wengi kuna wengine wanafikisha mita 19 na kuendelea. hahahaa..
huyo wa size hiyo, anaweza kuuliwa na nguchiro au nyegere ?
 
huyo wa size hiyo, anaweza kuuliwa na nguchiro au nyegere ?
Nyegere wameshawahi kukutwa wamekufa na ni nani mwingine nguchiro yeye huwa anaangalia size akiona kitu kimekomaa anakimbia.
58aeafcc4b0a613327907dea_o_F_v1.jpg
Hapa nguchiro amepima ameona huyu hamuwezi akatoka baruti.
 
Nili pataga bahati ya kumuona black mamba mkubwa kabisa, huko loliondo alikua ana katiza njia ni mlefu mweusiiiiiii tiiiiiiiiii. Siku hiyo nili enjoy sana wala hana shida usipo mchokoza, tulikua ktk gari jamaa wakasema tumchokoze wanao mjua wakasema tukitaka safari iwe chungu tumchokoze huyo mdudu!!
 
Back
Top Bottom