Kuna jamaa akiona tu nyoka hata kwenye kipindi cha wanyama Nat Geo anaondoka kabisa story zinaisha mwili wake huwa anatetemeka sana.huku sio kwangu kabisa, hizi vitu huwa zinanisumbua sana kichwa, kitu kinachoitwa nyoka kwangu ni shida sana hapakaliki leo
Mwenyekiti wa Bungelabda wale wenye makengeza
Naombeni picha ya kobokoNi kweli kabisa, kutana na hao wengine wote Ila sio koboko, ukizisoma tafiti zao, hao nyoka wengine hujaribu kuepusha shari hata ukikutana nae.
Koboko yeye huepusha shari asikutane na wewe kabisa, Ila sasa akikuona tu, hajui kama uliingia anga zake kwa bahati mbaya ama la, yeye ni tifu kwa kwenda mbele. Kwa kifupi, tofauti na hao wengine, yeye ukikutana nae sali sala zako za mwisho.
Weka namba zako basi tuzitume huko Kaliua.Nimeanzisha program ya Snake in the City mkimuona Black Mamba mnitafute kwa Www. Snake in the City .com nakuja fasta kumalizana nae.
Tutapambana mpaka kileweke nakuambiaYani ukishaona amesimama hivyo ujue hapo hakuachi hata ukimbie vipi ,,,yani hapo ni kuomba mungu tu nyegere au nguchiru akatize katikati ndo utapona
Umefanya vizuri, maana hata akiling'ata gari waliomo ndani wote hamuombi hata maji.Mimi huwa nautafutaga ujasiri wa wale wanao weka nyoka shingoni.....Mimi hata kumkanyaga na gari nimesha shindwa
Hakuna mda wa kupanga yote hayo dawa ni mbiyo tu huku ukipa kelele za ajabuCha kufanya baada ya kupokea last warning kutoka kwa muheshimiwa Blackmamba, kumbuka wakati huu mtakuwa mmetenganishwa umbali wa either mita mbili au tatu..
1- Usithubutu kuinama kuokota chochote kwa lengo la kumshambulia.
2- Kama unafimbo na hunahakika na shambulio lako endelea kujikausha huku ukiomba sana dua.
3- Huku ukimuangalia kwa makini kwa utulivu kabisa rudi nyuma taratibu kuongeza umbali baina yako na muheshimiwa.
Ukionesha nidhamu kwa hatua hizo tatu juu, unaweza kutoka salama..!!! hapo sasa nenda dukani, kanunue soda baridi sana uipendayo na ujipooze maana mpaka kufikia hapo utakuwa umesweat vya kutosha sana!!!
Leo nyumbabi madale narudi vipi mzigo huu mwili wote umechoka kabisa
Angalia koboko huyu mdogo alivyomtia adabu simba.na bado amaendelea kugonga mpaka simba amekufa bado anagonga tu.akikomaa huyu hata tembo anashika adabu.
Hahaa...dah nimecheka sana.Leo nyumbabi madale narudi vipi mzigo huu mwili wote umechoka kabisa
Soma tena hizo comments zangu nimesema tena na tena koboko aliyekomaa.
Naombeni picha ya koboko