Kwani maana ya umasikini ni nini.Umasikini wa kushindwa hata kujitafutia mahitaji binafsi katika mahali unapoishi haufiki hiyo 80%.
Umasikini niliouongelea ni mtu mzima kushindwa kumudu mahitaji yake muhimu ikiwa hakuna sababu inayomzuia kushindwa kufanya hivyo.Kwani maana ya umasikini ni nini.
Kwenye swala la mahusiano kila mtu ana vipaumbele vyake wewe kama kipaumbele chako ni mwanamke kujiweza kiuchumi ni vizuri. Ila wengine vipaumbele vyao ni maumbile sura tabia etc.
Niambie bhana, nijiunge chaap 😂😂😂😁😊🤣😬😃😎😀😆😂
Mke ni kesi nyingine. Ukifatilia madogo mtaani moja ya sababu inayowarudisha nyuma au kuwapunguzia kasi ni kujihusisha katika mahusiano na wanawake masikini wasiokua na mpango wowote kwenye maisha yao. Hii inapelekea kubeba majukumu yasiyowahusu. Kwa sasa ni expensive zaidi kuwa boyfriend kuliko kuwa mzaziHapa mie nilikuwa nazungumzia mke, sio girlfriend...
loooo ndo unikemee kiasi hicho😢,, nimelia sana😅Wewe ni mwanamke masikini. SIKUTAKI USINIKARIBIE
Sahihi kila mtu abaki na vipaumbele vyake.Umasikini niliouongelea ni mtu mzima kushindwa kumudu mahitaji yake muhimu ikiwa hakuna sababu inayomzuia kushindwa kufanya hivyo.
Ofcourse kila mmoja ana vipaumbele vyake. Kinachotokea tunabadilishana mawazo. Hata wewe ukiandika uzi wa kuelezea hivyo vipaumbele vingine tutakuja kutoa mawazo yetu. Lakini hatuwezi kufungamanisha vioaumbele vyote kwenye tread moja
Madini kabisaaa 💯Mwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote.
Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata mwanamke mwingine mwenye tabia nzuri na anajimudu mahitaji yake au anatokea kwenye familia yenye connections(za kisiasa, biashara n.k), basi achana na yule masikini. Kwa sababu masikini ni liability, na yule mwenye hela/connections ni asset. Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake
Usijifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke masikini. Hauhusiki na umasikini wa mwanamke Umasikini wa mwanamke sio tatizo lako, ni tatizo lake na familia yake. You don't owe any woman the life her parents failed to give her.
Mwanamke masikini ana njaa, ana bill za kulipa, na anajua mahusiano ndio nafasi rahisi kutua mzigo wake. Kumbuka yeye anapotua mzigo wake, mzigo huo utaubeba wewe kwa sababu utataka kudhihirisha upendo na uanaume wako kwa kubeba jukumu la kumtimizia mahitaji yake.
Hapa sio lazima akuombe hela,kwa sababu tayari yupo kwenye maisha yako utajiona una wajibu wa kumpa hela. Hivyo vielfu 10 utaona sio chochote. Ghafla utashangaa hela yako haikai na kuanza kujiuliza sijaenda club, sijanunua nguo, hela imeenda wapi? Jibu ni rahisi, kuna liability umeiongeza kwenye maisha yako.
Tupo kwenye dunia ya usawa wa kijinsia. Mwanamke kapewa fursa zote alizopewa mwanaume. Hakuna kisingizio chochote cha mwanamke kuingia kwenye mahusiano akiwa masikini na kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume. Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.
Brozos, broke women don't date for love, they date to survive. You saw a future she saw an opportunity, and temporary bonding grease called "love" blinded you because you never questioned the uncertainty.
Brozo, a broke woman will slow you down and still leave you in the end when she see no significant progress.
Don’t be a simp.
HUjaelewa chochote rudi kwenye 10k ?mambo mengine bhana, >68% ya watanzagiza ni masikini, halafu wewe unasema waepuke wanawake masikini, chances are that kwenye familia yako masikini wapo na ni wengi tu kwa maana zaidi ya nusu watazagiza ni masikini i.e ktk kila watu 2 mmojawapo 1 ni maskini, sasa hiyo theory yako ita-work vipi? ...
Hawezi kukuelewaSi ushasema kuanza pamoja from scratch, halafu wapi nimesema mwanamke awe tajiri? haujaelewa nilichoandika.
Hayo mawazo na nidhamu atumie kwanza kuboresha maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano.
Kwamba mwanaume ashasimama kiuchumi ndio aje kuhitaji mawazo na miongozo kutoka kwa mwanamke. Totally bullshit
Mwanangu kabisaMwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote.
Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata mwanamke mwingine mwenye tabia nzuri na anajimudu mahitaji yake au anatokea kwenye familia yenye connections(za kisiasa, biashara n.k), basi achana na yule masikini. Kwa sababu masikini ni liability, na yule mwenye hela/connections ni asset. Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake
Usijifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke masikini. Hauhusiki na umasikini wa mwanamke Umasikini wa mwanamke sio tatizo lako, ni tatizo lake na familia yake. You don't owe any woman the life her parents failed to give her.
Mwanamke masikini ana njaa, ana bill za kulipa, na anajua mahusiano ndio nafasi rahisi kutua mzigo wake. Kumbuka yeye anapotua mzigo wake, mzigo huo utaubeba wewe kwa sababu utataka kudhihirisha upendo na uanaume wako kwa kubeba jukumu la kumtimizia mahitaji yake.
Hapa sio lazima akuombe hela,kwa sababu tayari yupo kwenye maisha yako utajiona una wajibu wa kumpa hela. Hivyo vielfu 10 utaona sio chochote. Ghafla utashangaa hela yako haikai na kuanza kujiuliza sijaenda club, sijanunua nguo, hela imeenda wapi? Jibu ni rahisi, kuna liability umeiongeza kwenye maisha yako.
Tupo kwenye dunia ya usawa wa kijinsia. Mwanamke kapewa fursa zote alizopewa mwanaume. Hakuna kisingizio chochote cha mwanamke kuingia kwenye mahusiano akiwa masikini na kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume. Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.
Brozos, broke women don't date for love, they date to survive. You saw a future she saw an opportunity, and temporary bonding grease called "love" blinded you because you never questioned the uncertainty.
Brozo, a broke woman will slow you down and still leave you in the end when she see no significant progress.
Don’t be a simp.
Short and clear ,kabla mwanaume hajaingia kwenye mahusiano hakikisha kiuchumi uko stable la sivyo ukikutana na ombaomba utakuwa unapiga hatua 6 nyuma 3 mbele hutapiga hatua full stopKuna tofauti ya masikini na ombaomba ,wewe naona umemlenga zaidi mwanamke ombaomba.
Sisi tuliopita sehemu nyingi nyingi tumekutana na hao wanawake unaowaona wewe wanajiweza ila waulize mabwana zao ndiyo watakwambia ngondoigwa zao.
Wanawake wanaojiweza mizinga yao ni nina milioni 10 niongezee 15 nikanunue TAKO LA NYANI....oh baby nimepungukiwa "MLIO" nataka ninunue Lace Wig ila hawa wa kwetu omba omba ni sisi ndiyo hatujiongezi unataka mwanamke akuombe hadi hela ya kwenda kusuka maana yake hautimizi majukumu yako vizuri.
Hivi huyo unayemwita masikini ukiwa unampa bajeti ya laki 2 ya kujikimu kwa mwezi utafikiri atakuwa anakuomba omba? Wanawake wanajua sana kupangilia bajeti/matumizi...hatoishiwa akijua kwamba hatopata tena.
Mimi bora nimchukue mwanamke omba omba maana ana unafuu kwa 100% kuliko hao wanaojifanya wana kazi au biashara kubwa maaana "Vizinga" vyao ni mara elfu10 ya ombaomba.
Ombaomba atakupiga kizinga cha laki2 ila huyo anayefanyakazi/mfanyabiashara atakupiga mzinga wa milioni 10.
Hahaha, Sasa itakuaje kama option ni mwanamke tajiri single mother au masikini bikira?Mwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote.
Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata mwanamke mwingine mwenye tabia nzuri na anajimudu mahitaji yake au anatokea kwenye familia yenye connections(za kisiasa, biashara n.k), basi achana na yule masikini. Kwa sababu masikini ni liability, na yule mwenye hela/connections ni asset. Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake
Usijifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke masikini. Hauhusiki na umasikini wa mwanamke Umasikini wa mwanamke sio tatizo lako, ni tatizo lake na familia yake. You don't owe any woman the life her parents failed to give her.
Mwanamke masikini ana njaa, ana bill za kulipa, na anajua mahusiano ndio nafasi rahisi kutua mzigo wake. Kumbuka yeye anapotua mzigo wake, mzigo huo utaubeba wewe kwa sababu utataka kudhihirisha upendo na uanaume wako kwa kubeba jukumu la kumtimizia mahitaji yake.
Hapa sio lazima akuombe hela,kwa sababu tayari yupo kwenye maisha yako utajiona una wajibu wa kumpa hela. Hivyo vielfu 10 utaona sio chochote. Ghafla utashangaa hela yako haikai na kuanza kujiuliza sijaenda club, sijanunua nguo, hela imeenda wapi? Jibu ni rahisi, kuna liability umeiongeza kwenye maisha yako.
Tupo kwenye dunia ya usawa wa kijinsia. Mwanamke kapewa fursa zote alizopewa mwanaume. Hakuna kisingizio chochote cha mwanamke kuingia kwenye mahusiano akiwa masikini na kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume. Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.
Brozos, broke women don't date for love, they date to survive. You saw a future she saw an opportunity, and temporary bonding grease called "love" blinded you because you never questioned the uncertainty.
Brozo, a broke woman will slow you down and still leave you in the end when she see no significant progress.
Don’t be a simp.
Mimi mkwe wangu sio lazima awe tajiri, angalao tu awe na kitu anakifanya kusogea kimaisha. Kijana wangu wa kiume akija kunitambulisha mpenzi wake ambae hasomi, hana kipato wala chochote cha maana kinachoendelea kwenye maisha yake, mbaya zaidi awe anatoka kwenye absolutely poverty family. Hapo lazima nimpe taadhari kijana wangu kwa sababu najua mzigo anaoenda kuubeba ni mkubwa sana na uta-slow down mipango yakeSahihi kila mtu abaki na vipaumbele vyake.
Maana unawaza kudhani unajiweza kiuchumi ukaenda kwenye familia nyingine ukaonekana takataka hujiwezi
Fumbo gani na unaona mtu ni ombaomba kila siku na ukikosa siku moja malalamiko kibao anasahau yote so mwanamke wa aina hii kuendelea sahauAngekuwa na pesa basi angekuwa ni mtu tofauti kabisa. Hakuna mtu anazaliwa akiwa mtu tayari, mapito ya duniani ndio hutupa utu. Moja kati ya mapito ni pesa.
Kwahiyo hapa unamhukumu mtu mmoja kwa tabia za mtu mwingine tofauti(ambaye pia umekisia sana tabia zake kwasababu hayupo na humjui).
Licha ya hayo yote, mahusiano/ndoa ndio jambo lenye risk kubwa zaidi kwenye maisha na hiyo risk haikwepeki. Mada kama hii haiwezi kuwa na hitimisho kwasababu mahusiano ni fumbo. Hakuna jibu sahihi, kuna machaguo tu.
Sahihi ukikosea kuoa Obviously lazima cha moto ukione either way tajiri/masikiniMimi mkwe wangu sio lazima awe tajiri, angalao tu awe na kitu anakifanya kusogea kimaisha. Kijana wangu wa kiume akija kunitambulisha mpenzi wake ambae hasomi, hana kipato wala chochote cha maana kinachoendelea kwenye maisha yake, mbaya zaidi awe anatoka kwenye absolutely poverty family. Hapo lazima nimpe taadhari kijana wangu kwa sababu najua mzigo anaoenda kuubeba ni mkubwa sana na uta-slow down mipango yake
Ajiri mtu kwa sababu umeona ana sifa au vigezo vya hiyo kazi unayompa. Sio salama kwa biashara kuajiri mtu kwa sababu ni mke, ndugu au rafikiMm ntaoa Jobless, Kisha namuajiri, namlipa mshahara nje na hela za kusukia.
Humwambii chochoteKuna ukweli kwa asilimia kubwa, japo hao unaoita maskini ndo wanaotoa furaha ya kweli kwa wanaume, angalia katika mahusiano wanandoa ambao wote wanakazi nzuri na maisha mazuri upande wa mahusiano hawako vizuri baba atatamani house maid angakuwa mke wake, na anaweza kuwa na mahusiano na mhudumu ofisini au dada wa mgahawa au pub. Cha msingi wanaume tutafute hela ili tuwe na uwezo wa kuhudumia. Asili ya mwanamke akiwa na hela zake hahitaji mwanaume wa kuanza kumghasi anataka uhuru zaidi ndo furaha yao, anahitaji mamlaka n.k.
Hakuna popote nilipoelekeza kwamba target iwe mwanamke tajiri. Hao matajiri hata wanaume tuwapo wachache sana. Substitution ya masikini sio tajiri. Mwanamke awe tu na kitu anafanya kusogea kimsisha ni sawa. Kwanini mmashindwa kuelewa kitu kidogo sana kama hicho maana naelezea tamgu page ya kwanza.Hahaha, Sasa itakuaje kama option ni mwanamke tajiri single mother au masikini bikira?
wewe unaweza kupokea majukumu yote ya mzazi na haujamwoa tena anakwambia kwa lazima totally nonesenseWanaume wa siku hizi ni irresponsible ndio maana vitu basics tu vya kufanya kwa wanawake wanavianzishiq mijadala.