Kenge hasikii hadi masikio yatoke damu
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
😁😂😀😅😄😃🤣
hivi hii iliishia wapi?Hivi hawa wanatofauti gani na wale waliokuwa wanafanyia promo ufugaji wa sungura?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Kuku Anataga Wewe Mwenyewe Upo NdaniWatanzia akili zetu bwana yaani mtu akufugie kuku wewe umekaa tu ndani tu ngoja watu wapigwe akili ziwakae sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
"Watu wana hela ila hawajui wawekeze wapi?"Yes inawezekana kabisa in future lazima nifanye hii kitu,watu pesa wanazo ila hawajui wawekeze wapi ukija na idea nzuri utapata watu mpaka ushangae
Nina experience na hizi kampuni na nimetulia nikafanya tafiti za marketing plan zao,zipo ambazo ni legit na nyingine ni utapeli
Hii Mr kuku ni utapeli
Value of your money in exchange of what?kama ukiwekeza laki 7 exchange yake unapewa nini?hakuna pesa rahisi uweke na utulie usubiri ijizalishe nashangaa kwanini watu hawaoni huu ni utapeli
Mwanzoni lazima wawalipe ili kujenga uaminifu baadae wataondoka na hela za watu na hakuna pa kuwapeleka
😂😂😂uoga wako ndio umasikini wako, mradi upo, kuku wapo, wasipokulipa si unaenda hapo kigamboni kubeba kuku? wekeza wewe acha uoga
Huu Ni ukweli mchungu Kuna watu Wana ela ila hawajajua wawekeze sector gani haswa wanaoshika pesa za wastani kwanzia million 10- 50 hapo wengi hawajui wawekeze katika sector ipi au biashara zipi unajua kwangu Mimi haingii akilini kuchukua million 10 zangu nimpe Mr kuku eti yeye afuge halafu Mimi nifate faida tu kumbuka Kila biashara Ina pande mbili faida na hasara ikitokea mr kuku akapata hasara basi zile million kumi zangu zikawa zimeenda hakuna nitakalo jifunza Ni heri hiyo hela nifungue sehemu yangu mwenyewe nifuge kuku nijionee mwenyewe faida na hasara za uufugaji wa kuku na changamoto zake itaikitokea nimepata hasara ya million yote 10 Nina kuwa nimejifunza kitu na hii ndio tunaita ujasiriamali"Watu wana hela ila hawajui wawekeze wapi?"
Huu msemo mnadanganyana sana tu.
Hakuna mtu mwenye hela asijue pa kuwekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa dagaa wa mwanza hatuwezi kuwatafutia project mkuu?😂 kama hii ya mr kuku
Inawezekana mkuu, tuwasiliane PMhawa dagaa wa mwanza hatuwezi kuwatafutia project mkuu?😂 kama hii ya mr kuku
Haa😁😂😅😄😃😀Kwa huu mradi akisema soko lake limeyumba sababu ya Corona... Hivyo kama taasisi wameingia hasara inakuaje? Cause it makes sense
Achana na taarifa Za umbea mitandaoni fuata hizi link
Youtube