Wadada wakali JamiiForums

Wadada wakali JamiiForums

1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi

dhamira kuu na ujumbe wa huu uzi ni kufanya jokes na Kaka Jambazi. mkuu Paw peleka uzi huu kwenye chitchat
 
Last edited by a moderator:
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi

Sijaelewa usawa wa kulia !

Ni mimi au kuna mwingine!
Mbona mi ni dume?!

JOIN Date : 15th September 2014
Posts : 18
Rep Power : 313
Likes Received2
Likes Given0​
 
Last edited by a moderator:
Shy land ameamua kuja na id ya Haki sawa ambayo bila shaka atakuwa anajifariji kwa elimu yake ambayo yeye anadai na std7 hivyo ana haki zote sawa graduate wa chuo kikuu.

Mkuu Paw naomba utuondelee uzi, maana kinachoendelea hapa ni majungu ambayo haya maana. mkuu Konda wa bodaboda usihukumu kitu ambacho hauna ukika nacho

namuomba mungu kama ni mimi kweli hii id ya haki sawa ni ya kwangu anifanyie lolote baya juu yangu

kama siyo mimi naomba mungu laana hiyo ipeleke kwa Konda wa bodaboda. asante
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom