Wadada wakali JamiiForums

Wadada wakali JamiiForums

You might be right or wrong as well...

Huenda alikuwa anatoa ushauri kwa moderator kama mdau mwingine tu...

Ila muundo wa sentensi alioutumia ndio tatanishi...
Nilimwambia hivyo baada ya kukana kuwa si yeye, nikamwambia kuwa kama nimekosea basi ni kutokana na ainauandishi wake. Kwa kweli sina hakika kama ni yeye au la.
 
mie mzima sana........ankal yuko poa anaongea yote sasa hivi........namtafutia mdogo wake.....

nafurahi kujua u bukheri wa afya kipenzi....kumbe muda umesogea eenh ashukuriwe sana Mungu...hahaha jirani mbona mbio mbio hivyo!!!
 
nafurahi kujua u bukheri wa afya kipenzi....kumbe muda umesogea eenh ashukuriwe sana Mungu...hahaha jirani mbona mbio mbio hivyo!!!

ah anadeka sana.....sasa ili akae sawa inabidi nimpatie mdogo wake......
 
hahaha hapa najiuliza na huyo mdogo mtu naye akiwa mdekaji...

haaaaaa......mpaka wawe wengi kama timu ya mpira.....

Mmmmm!!!!!!!!
 
Huyo Evelyn Salt...Uko Sawa Kabisa
Ila Sijaelewa Huyo Kaka.. Tena Ni Jambazi Kaingiajeingiaje Hapo
 
Last edited by a moderator:
Kuna Huyu miss neddy
Anaivuruga Akili Yangu vibaya Mnoooo...
Jigo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom