Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
dhamira kuu na ujumbe wa huu uzi ni kufanya jokes na Kaka Jambazi. mkuu Paw peleka uzi huu kwenye chitchat
Mkuu Paw naomba utuondelee uzi, maana kinachoendelea hapa ni majungu ambayo haya maana. mkuu Konda wa bodaboda usihukumu kitu ambacho hauna ukika nacho
namuomba mungu kama ni mimi kweli hii id ya haki sawa ni ya kwangu anifanyie lolote baya juu yangu
kama siyo mimi naomba mungu laana hiyo ipeleke kwa Konda wa bodaboda. asante
Mkuu Shy land hebu soma hizo quotes zako halafu uone kama nadanganya. Na kama ni uongo nisamehe ila uache kimbelembele cha kutoa maelekezo kama wewe ndio uliyeianzisha.
Halafu na sigara uache kuvuta, umwambie na huyo mchumba wako ili msipate laana uliyoisema.
Konda wa bodaboda mimi nimechagia tu, kama watu wengine njisi walivyokuwa wanachagia, mimi ni Kaka Jambazi hutajawahi kufanyiana baya lolote wala matani yoyote, kama tumewahi naomba Kaka Jambazi azibitishe. kwa nini nifanye ujinga kama huo.
Kivipi mkuu?
kutambuana kwa picha halisi
Tunatambuanaje mkuu mokoyo wakati hata picha zinazomiwa na wadau sio halisi?
mpala saa 10:52 huyu usawa wa kulia yuko online anawasikilizia tu..mnavyogombana...
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi
Nenda katoe huduma ya kwanza punguza maneno mengi...umeamka saa 11 na makali katika reproductive organ
ukaniwaza eeh?????
UNA UKAME EEH
Kwa kuwa umewaita wenyewe haina shida...
Nenda katoe huduma ya kwanza punguza maneno mengi...
mmmmh kuna watu wanamajina ya ajabu.....afu ni wazuri balaaa......
hata ww ni mzuri uskute kupita kaka jambazi...CC sister, masai dada
Huyu masaidada ni mrembo haswaaaa
Hata watu wazima timamu huwa zinatekenya. Tena chaji na kibaridi baridi cha alifajiri inakuwa full balaa....aniambie kwanza umrii wake maana hii mambo ya kuamka saa 11 asubuh na kumuwazia msichna ni wazi R.O reproctive organ zinatekenya