Wadada wakali JamiiForums

Wadada wakali JamiiForums

1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi

Kumbe una ID mbili moja unaitumia kuji promo!! Tumekushitukia!!
 
Hata watu wazima timamu huwa zinatekenya. Tena chaji na kibaridi baridi cha alifajiri inakuwa full balaa....

ndo akaniwazia hapo
na huu muandiko naujua vizuri
namuhesabia tu id mpaka zifike 100000 ndo nitamkubalia ombi lake
 
eeeh mayasa weee aka mama gaude wangu wa room to read wakuachee...usione sipokei simu niko busy na mambo ya escow
 
Back
Top Bottom