Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,371
- 111,682
Mmmmm!!!!!!!!
Dogo kuna nini, mbona unatoa sauti za watu walio kileleni?
Mmmmm!!!!!!!!
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi
Dogo kuna nini, mbona unatoa sauti za watu walio kileleni?
masai dada nmekumiss..,mzima wangu
Uwiii....kaka jambazi??
mama mkwe we ni jinsia gani? maana me nilijua Kaka Jambazi ni dume kumbe lady.. toa utata tafwazali..