Wadada wa instagram na Facebook.

Wadada wa instagram na Facebook.

Nnachoogopa, huyo atakufanya uondoke JF bila kuaga itabidi ubadili ID.

Sema kwa vile anajitambua, anaweza kupotezea au aka kutia moyo na kukufedhehesha kiungwana.

Ila rusha nyavu kijana, wakati ni sasa, wakati ni huu, usikae kizembe
😁😁 Unamtia moyo mtoto wa watu aendelee kujidhalilisha
 
Wewe una makasiriko nimeshindwa kufanikisha jambo lako.
Kosa lako mwenyewe kua na akili za kitoto
Nipe madini sasa, au una nipenda sema tu yote hata kwa pm. Maana unanifatilia sana
 
Back
Top Bottom