Wadada wa instagram na Facebook.

Wadada wa instagram na Facebook.

Unajua nilikuwa najiuliza ni kwanini unapenda kubishana na watu sana humu?

Sasa nimegundua wewe ni mbaya wa sura, una nongwa sana, unajaribu kutafuta mtu akupe attention, ila bahati mbaya wajuvi wamesha jua huna housing nzuri na hakuna wa kurusha ndoano kwako tena.

Unajua kabisa huna uzuri wa aina yoyote
Leo umejua kunichamba!😂🙌
 
Unajua nilikuwa najiuliza ni kwanini unapenda kubishana na watu sana humu?

Sasa nimegundua wewe ni mbaya wa sura, una nongwa sana, unajaribu kutafuta mtu akupe attention, ila bahati mbaya wajuvi wamesha jua huna housing nzuri na hakuna wa kurusha ndoano kwako tena.

Unajua kabisa huna uzuri wa aina yoyote
hahahahaha,dah
 
Ika pisi za kibongo bwana..

Unakuta kimeweka bio ya kumcha Mungu..

Una ki DM kina respond kwa kuchelewa makusudi kionekane kiko on demand.

Then unakivumilia hivyo hivyo..

Basi nacho unaanza kuingia line, sasa ukiingiza maswala ya kupata mawasiliano na Whatsapp,

Hapo ndo true colors zinakuja..

Kama sio kizinga ni hela ya vocha..

Mbona wazungu huwa hawana njaa za kijinga kama hizi? Alafu kinakwambia, "sijakulazimisha unitafute" sasa unanileltea ngebe kapuku wewe? Ndo maana inaishia kuwa vituko na uzeeni ndo vina anza kujiliza Liza kama kajala vishamba hivi.

Wanawake wamatumbi ni ovyo sana.

Hawana akili, ya kujitambua wao ni wakina nani na wanataka nini, kazi kucompare maisha ambayo wanajua kabisa sio hadhi zao, kuishi maisha ya kuigiza na kutaka starehe.

Kuna pisi kali chuga imeuwawa nilipata taarifa ya Millard ayo, kisa huu huu ujinga. Wanawake mmepewa uhuru sana na mnatumia vibaya ndo maana mnatumika kama daladala tu.
Pole sana Kamanda..
 
Kama mwanaume unatuaibisha sana na drama zako kwa sababu dishi lako limeyumba tutaendelea kukupiga spana mpaka likaze
Sijawahi kuuchoka na mnazidi kuniweka juu, sasa nimekuwa famous JF kwa sababu ya Pimbi kam nyie wazembe.
 
natakiwa nikui gnore unaanzisha nyuzi nyingi za kipumbavu...umetumwa kuiharibu jamii forum ionekane ni mtandao wa mafara? .........
Na nyinyi ndiyo mnaharibu kukaa mnakomenti komenti kwake mtu kama huyu nyuzi zake ukiona unafanya kama huzioni tu. Huyu anafanya makusudi anajua mtajibu tu au mmepewa limbwata la CCM watu mnalalamika kila kukicha na mikutanoni mnajaa wenyewe.
 
Back
Top Bottom