duuuuuuuhMy dear sister
Kila la kheri mie hua sitaki kabisa hata mtu ani tag kwenye nyuzi zake huyu mtu sihitaji kabisa
Mimi sio mpole hata kidogo
Sio mpole kabisa
nadhani kuna watu wanajua
Ila kubishana humu naona haina maana ndio maana ile siku nilichagua kumjibu kwa heshima sana
But kama mstari ukivukwa tena nipo available 🔥
Mimi pia nilala nikaamka nakutana na uzi sijui kama kuna sehemu nilionakana cheap au la pengine sijui
Lakini hakuna kitu sipendi kama use*nge wa kuanzishiana nyuzi 🚮
kwa nini huwa mnamuita chiwawa huyu kijana ?Bora yule dada uliyemfungulia uzi alikufurumusha tofauti na hapo kingemlamba.!
Huwa unawezaje kum jibu kila anaye comment kwenye nyuzi zako ?Acheni nongwa za kikuda
Hivi Jf mwanamke anawezaje kukitembeza wakati watu wenyewe wamekaa kinyokanyoka kijasusi jasusi tuWe unadhani hakuna wadada wanaokitembeza hovyo humu?
fulaniDawa yake uhamiaji wamrudishe kwao akalime parachich
AstakafillulahLeo kaka yenu natishiwa kuanzishiwa uzi
Mwanaume anayejielewa ndiye anayependa kuuziwa uchi kwa sababu hakuna mambo mengi na mnafunga mkataba wa siku moja tu, ukitaka kurudia ni mkataba mwingine.Hakuna mwanaume anapenda kuuziwa K bwana, hapo inakuwa unaona hili ni kaaba kabisa hili
bad influenceMwanaume anayejielewa ndiye anayependa kuuziwa uchi kwa sababu hakuna mambo mengi na mnafunga mkataba wa siku moja tu, ukitaka kurudia ni mkataba mwingine.
Anayekuuzia uchi hakusumbui kwa lolote, shida zake zote anamaliza mwenyewe wewe mlipe kile mlichokubaliana tu Finito.
Mwenye shida ni huyo mpuuzi mimi nimerudi Sha kile alicho fanyaHuwa unawezaje kum jibu kila anaye comment kwenye nyuzi zako ?
hata kama hatukulishi ndio uwe na muda wa ku respond kwenye kila comment, kwangu naonakuna shida mahali
Hii inakuondoa kwenye hali ya kuwa na tabia ya kumjibu kila anaye comment kwenye uzi wako ?Mwenye shida ni huyo mpuuzi mimi nimerudi Sha kile alicho fanya
Huoni ni albu kwako kukosa alfu taty😎Mtu akiniomba hela ya vocha anajidhalilisha kwangu
Sio kwamba naona aibu mimi, nakuonea aibu wewe umenichukuliaje mpaka niweke kwenye dhiki zako za kijinga. Unakosa elf 3 ya vocha na una akili timamu, mikono mwili na miguu inayo weza kutembea?Huoni ni albu kwako kukosa alfu taty😎
Hela zetu hazinogiSio kwamba naona aibu mimi, nakuonea aibu wewe umenichukuliaje mpaka niweke kwenye dhiki zako za kijinga. Unakosa elf 3 ya vocha na una akili timamu, mikono mwili na miguu inayo weza kutembea?