Wadada, njooni tufundishane usafi

Wadada, njooni tufundishane usafi

Hata kama chupi umeanika juana tunashauliwa wakati wa kuvaa pitisha pasi pale katikati kuuwa wadudu na ni vizuri kutumia chupi za cotton
 
Hata kama chupi umeanika juani tunashauliwa wakati wa kuvaa pitisha pasi pale katikati kuuwa wadudu na ni vizuri kutumia chupi za cotton
 
Barafu haibani k,inatanua tu... Lakini ukiweka barafu n mnjunjo ukafata kile kiubaridi cha barafu na ile friction kwanza italeta orgasm kwa mdada haraka na male pia ataenjoy
Ice cubes,whisk etc etc ni vikolombwezo tu lakini hakuna phisiology ya kubana huko..
Lakini there is a solution ya kubana huko......

ila hii ya barafu niliambiwa na bibi mmoja hivi japo sijawahi kujaribu.

Barafu tena...duuh na joto la kule si tutayeyuka tulowanishe pichu labda uwe tu nyumbani

ninavyojua inabana..wapo wengi wanaoitumia njia hii,sema ipo local tofauti na kegel nk..ila mdada akitumia sana ufanya ule unyevu upungue na kuwa mkavu sana hivyo itamlazimu kutumia vilainishi.Njia ulizozibainisha ni njema zaidi.

Barafu inabana... But Not permanently. Mwambie aweke cube moja tu huko, Hamna kuingia hadi iyeyuke. Njia nzuri ya kupata attention.
Ukifika + barafu kufanya kazi= super mnato. Kama we ni mnato tayari ukaweka na barafu, itakuwa unataka kumpa experience ya kutoa bikra. Haha.

Na kweli inakausha vilainishi.

Kwanza Haw hawajui tu, mnato ni sign kuwa anakaribia au kafika. Kuliko kusingizia dada za watu wana mabwawa waseme hawajui kufikisha.

Kwa wazazi wajaribu madura stick, ndo inayovuma mjini.
 
Usafi is a broader term. Some would insist upon cleaning the exterior without realizing that cleanliness is an inside job Clean yourself through food revitalize your organs. Eat a lot of veggies and fruits it helps to detoxify your body. ..

Asante. Tena harufu ya ute inabadilika na unachokula.

Nilianzaga therapy ya vitunguu swaumu nlikuwa nanuka vitungu swaumu.

I thought it was interesting nikaanza therapy ya machungwa na mananasi. Believe me harufu inabadilika kabisaa...
 
Machungwa ni the best, matunda ya citrus na berries ndio yenyewe kwa kusafisha. Mauchafu mengi ni ulaji na mazingira unavyojiweka ofkoz inachangia
 
Lifestyle.

-Mjini tunatumia vyoo vya kukaa na kuchuchumaa.... Huko vya shimo.

-Mjini tunavaa nguo za kubana kila mahali. Huko ingawa kuna layer za nguo (gagulo, undersketi , sketi, kanga) , mara nyingi chini pako wazi so hewa ipo.

-watoto wanalelewa kwa usafi zaidi mijini. Ni rahisi kuugua wakianza uchafu ukubwani.

-Mjini tunatumia toilet paper. Sio nzuri.

-Mjini joto.

-mijini mitoto hakui. Kijijini kadada kadogo kama kamama. Wanafundishwa wakiwa wadogo.

Poleniiiiii...............
 
Mbona umesema opposite. Roll on ndo inakaa muda mrefu kuliko spray.

Spray naonaga tu kama air freshener.. Utafikiri hazikutengezwa kuwa deodorants.

It doesn't work for many people. It makes the smell musky and kikwapa kitarudi muda si mrefu wakati roll on Uta sweat sana but hadi jioni no
kikwapas.
.
Roll on huchelewa kukauka ndomana nikitoka bafuni ndo kitu cha kwanza. By the time navaa imekauka.

Wale waotokaga mbio nyumbani wamevaa shati huku haijakauka, wakaenda kusweat kwenye daladala, wawe wanasubiri inakauka.

Anyways, mtu a jaribu a one itakayomfaa.

Basi utakuwa umekutana na aerosols za ubora wa chini kabisa na pengine labda za bei ya chini kabisa kuakisi ubora wake.

Lakini kwa kawaida aerosols manukato yake hukaa kwa muda mrefu zaidi kuliko roll-ons.

Pia, ni muhimu kusoma na kuelewa container linasemaje.

Na siyo mtu ukiona tu linasema 'deodorant' basi ukimbilie kununua wakati inaweza kuwa ni bidhaa usiyoihitaji.
 
Barafu inabana... But Not permanently. Mwambie aweke cube moja tu huko, Hamna kuingia hadi iyeyuke. Njia nzuri ya kupata attention.
Ukifika + barafu kufanya kazi= super mnato. Kama we ni mnato tayari ukaweka na barafu, itakuwa unataka kumpa experience ya kutoa bikra. Haha.

Na kweli inakausha vilainishi.

Kwanza Haw hawajui tu, mnato ni sign kuwa anakaribia au kafika. Kuliko kusingizia dada za watu wana mabwawa waseme hawajui kufikisha.

Kwa wazazi wajaribu madura stick, ndo inayovuma mjini.
Kuna huyu mwanajf anaitwa Pleasure aliwahi kuongea kitu kuhusu mambo ya usafi. Hiyo link kuiaatach ntakesha

DO NOT USE MADURA STICKS OR TUMABWE OR HERBS TO TIGHTEN YOUR VAGINA.
Your Vagina is a muscle; no amount of sticks or stones or herbs will tighten it. The best you can do to a muscle to work it, please try kegel exercise. You can do this exercise anywhere at anytime.

Do you know why you think your Vagina is tighter after using the sticks or herbs etc? It is because they suck out the moisture from inside and make your Vagina to swell; therefore becoming smaller and you think you are tight.
You are not, you are simply swollen and having sex while swollen will increase your chances of bruising, infection and other health consequences. STOP INSERTING THINGS INTO YOUR VAGINA, LEAVE IT ALONE. Also stop putting vinegar or ice cubes in your vagina

Doctors please, haya mavitu ya kudumbukiza huku hayasababishi na kansa kweli Mmh? ?????
 
Last edited by a moderator:
Basi utakuwa umekutana na aerosols za ubora wa chini kabisa na pengine labda za bei ya chini kabisa kuakisi ubora wake.

Lakini kwa kawaida aerosols manukato yake hukaa kwa muda mrefu zaidi kuliko roll-ons.

Pia, ni muhimu kusoma na kuelewa container linasemaje.

Na siyo mtu ukiona tu linasema 'deodorant' basi ukimbilie kununua wakati inaweza kuwa ni bidhaa usiyoihitaji.

Cheap, nakubali.

Overall, roll on vs spray, maybe we should start a poll about it.

Anyways, tusaidie tusome nini kwenye macontainer.
 
Kuna huyu mwanajf anaitwa @ pleasure aliwahi kuongea kitu kuhusu mambo ya usafi. Hiyo link kuiaatach ntakesha

DO NOT USE MADURA STICKS OR TUMABWE OR HERBS TO TIGHTEN YOUR VAGINA.
Your Vagina is a muscle; no amount of sticks or stones or herbs will tighten it. The best you can do to a muscle to work it, please try kegel exercise. You can do this exercise anywhere at anytime.

Do you know why you think your Vagina is tighter after using the sticks or herbs etc? It is because they such out the moisture from inside and make your Vagina to swell; therefore becoming smaller and you think you are tight.
You are not, you are simply swollen and having sex while swollen will increase your chances of bruising, infection and other health consequences. STOP INSERTING THINGS INTO YOUR VAGINA, LEAVE IT ALONE. Also stop putting vinegar or ice cubes in your vagina

WHOAH!! .... Sijawahi kusikia.... Tunasikia watu wanavisifia tu hivyo vistick.
 
Cheap, nakubali.

Overall, roll on vs spray, maybe we should start a poll about it.

Anyways, tusaidie tusome nini kwenye macontainer.

Okay, tuanze na hili kwanza: lengo ni nini? Kuondoa tu harufu au kuondoa harufu na kupunguza uvujaji wa jasho kwapani na kuacha madoa kwenye nguo?
 
Basi utakuwa umekutana na aerosols za ubora wa chini kabisa na pengine labda za bei ya chini kabisa kuakisi ubora wake.

Lakini kwa kawaida aerosols manukato yake hukaa kwa muda mrefu zaidi kuliko roll-ons.

Pia, ni muhimu kusoma na kuelewa container linasemaje.

Na siyo mtu ukiona tu linasema 'deodorant' basi ukimbilie kununua wakati inaweza kuwa ni bidhaa usiyoihitaji.

There are two types of spray in the personal care market: antiperspirant deodorant spray and body spray. Antiperspirant sprays contain an aluminum-based chemical (usually aluminum chlorohydrate) that will reduce perspiration. Body sprays do not contain an antiperspirant, only fragrance. Their main function is to smell nice, not prevent sweating or odors.

Nafikiri mleta mada anaongelea body spray ambayo ni for smelling purpose only. Zile kwa ajili perspiration uwa zipo na maelezo ya wazi kabisa
 
WHOAH!! .... Sijawahi kusikia.... Tunasikia watu wanavisifia tu hivyo vistick.
Honestly siaminigi kwenye mavitu ya kudumbukiza huku. Kegel exercise inatosha sana. Juzi tu nimetoka kusoma mahali mtu analalamika kuhusu haya mastick sijui alidumbukiza akaanza kutoka magamba kama nyoka. Afu kumbe hivi madura sticks unazitumia ukimaliza unaosha, unahifadhi vizuri for future use!!!!
 
Okay, tuanze na hili kwanza: lengo ni nini? Kuondoa tu harufu au kuondoa harufu na kupunguza uvujaji wa jasho kwapani na kuacha madoa kwenye nguo?

Personally I've got a deo that already works well for me, ingawa imeandikwa antiperspirant, I'll still sweat If I'm on heavy load.

Nilichoanzishia mada ni odor and not sweating.
 
Honestly siaminigi kwenye mavitu ya kudumbukiza huku. Kegel exercise inatosha sana. Juzi tu nimetoka kusoma mahali mtu analalamika kuhusu haya mastick sijui alidumbukiza akaanza kutoka magamba kama nyoka. Afu kumbe hivi madura sticks unazitumia ukimaliza unaosha, unahifadhi vizuri for future use!!!!

Mh magamba!!!! 🙁

Matangazo yalivyojaa watu walivyodesperate hadi watu waelewe madhara ishafanya enough damage....
 
Hehhehe tunavyopenda kuwa tight sasa, Mmh ngoja watumiaji watakuja kutoa testimonies zao
 
Nafikiri mleta mada anaongelea body spray ambayo ni for smelling purpose only. Zile kwa ajili perspiration uwa zipo na maelezo ya wazi kabisa

Antiperspirant deodorant ina kazi mbili: kupunguza uvujaji wa jasho [antiperspirant] na kuondoa harufu [deodorant].

Ndo maana zikaitwa 'antiperspirant deodorant' na 'deodorant'.

Ukinunua 'deodorant' tu unakuwa umenunua kiondoa harufu peke yake na si kiondoa harufu chenye kupunguza uvujaji wa jasho kwapani [ambalo huchangia kuleta harufu mbaya].

Kwa hiyo antiperspirants zina dual purpose na deodorants ni kuondoa harufu tu lakini kuvuja jasho kunabaki palepale.
 
Antiperspirant deodorant ina kazi mbili: kupunguza uvujaji wa jasho [antiperspirant] na kuondoa harufu [deodorant].

Ndo maana zikaitwa 'antiperspirant deodorant' na 'deodorant'.

Ukinunua 'deodorant' tu unakuwa umenunua kiondoa harufu peke yake na si kiondoa harufu chenye kupunguza uvujaji wa jasho kwapani [ambalo huchangia kuleta harufu mbaya].

Kwa hiyo antiperspirants zina dual purpose.

Okay, got it
 
Back
Top Bottom