Wadada, njooni tufundishane usafi

Wadada, njooni tufundishane usafi

Usiondoke bana utakuwa unamsaidia yuleeeee kumpa some tips ukiona anaenda ndivyo sivyo.......
Hahaha. Haiwezekani kabisa. Hizi mambo ni too private. Honestly, nimesoma vichache tu nikaji-feel uncomfortable kinoma. Nimejuta hata kwanini nilipita. Lesson learnt.
 
Barafu haibani k,inatanua tu... Lakini ukiweka barafu n mnjunjo ukafata kile kiubaridi cha barafu na ile friction kwanza italeta orgasm kwa mdada haraka na male pia ataenjoy
Ice cubes,whisk etc etc ni vikolombwezo tu lakini hakuna phisiology ya kubana huko..
Lakini there is a solution ya kubana huko......

ninavyojua inabana..wapo wengi wanaoitumia njia hii,sema ipo local tofauti na kegel nk..ila mdada akitumia sana ufanya ule unyevu upungue na kuwa mkavu sana hivyo itamlazimu kutumia vilainishi.Njia ulizozibainisha ni njema zaidi.
 
Hapa kuna kaukweli,wangu haendi huko aisee
Hao madaktari wanajifanya wanadeal na magonjwa ya kike matokeo yake ndo wanatulia wake zetu na dada zetu.mf akianza kukuonesha jinsi ya kutanua lips umeliwa.
 
Usafi is a broader term. Some would insist upon cleaning the exterior without realizing that cleanliness is an inside job as much as it is outside.
Clean your mind (mentality) Clean yourself through food revitalize your organs. Eat a lot of veggies and fruits it helps to detoxify your body. Afterwards it would be easy to deal with the exterior BUT the most important cleansing is of the heart.....
 
Nashangaa watu wanaovua kuoga tu. Yani Kuna watu wangekuwa na uwezo wangekuwa wanaoga nazo.

Ukiwa kwako haina haja.

Mie hapana kwakweli tena sio nyumbani tu mi hata nikitoka mara nyingine sikavai naona mbanano tu
 
Mie hapana kwakweli tena sio nyumbani tu mi hata nikitoka mara nyingine sikavai naona mbanano tu

Ahhaha gelofriend wewe Umezidi sasa, mimi nyumbani sivaagi kabisa labda tu kuwe na emergency. Ila Nikitoka navaa tu hamna namna. Sasa kutembea bila tei tei mzigo hautikisiki kama gilesi teh?
 
Mie hapana kwakweli tena sio nyumbani tu mi hata nikitoka mara nyingine sikavai naona mbanano tu


Hahjaha kutembea hadharani bila nguo ya ndani siwezi kwa sbabu Hua nawaza naweza pata ajali bahat mbaya lol itakuaje?? Home kushinda bila tei tei hii kwa Sana Tu
 
Dah! Kumbe wanamama wana kazi hivi? Sema hizi mambo mngekuwa na group lenu mnaelekezana huko, ingekuwa babkubwa zaidi. Kuna vitu unasoma mwanaume humu, unaona aibu design. Vingine vinatujengea picha za ajabu kichwani. Ni mtazamo tu.

Hivi ulisoma kwanza heading kweli? Ndio maana wameitwa wadada tu, mwanaume ukiingia humu ni kiranga chako kwahiyo utulie tu.
 
Ahhaha gelofriend wewe Umezidi sasa, mimi nyumbani sivaagi kabisa labda tu kuwe na emergency. Ili Nikitoka navaa tu hamna namna. Sasa kutembea bila tei tei mzigo hautikisiki kama gilesi teh?
Hahaaaaa...hata sijui kwa nini nimepita huku...
 
Hivi ulisoma kwanza heading kweli? Ndio maana wameitwa wadada tu, mwanaume ukiingia humu ni kiranga chako kwahiyo utulie tu.
Aisee! So much love I'm being shown here. Once again, my apologies to all you ladies.
 
Back
Top Bottom