housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
- Thread starter
- #81
Mie vyoo vya nje ya kwangu labda kwa wazazi au ndugu zangu mie ndio naweka matako.
Mengine ukihitaji haswa lazima usafishe na tishu na sabuni halafu nakata toileti pepa vipande vipande natandaza juu ya kiti ndio nakaa kama siwezi napita....
Aisee vyoo vya kukaa havifai kabisa kwa matumizi ya watu wengi. Labda mtu kaweka chumbani huko na mkewe sawa, lakini sio ndo kinakuwa choo kikuu cha familia nzima + wageni; aisee kupokezana makalio pale juu si sawa.
Yes... Sio lazima kukaa
Tissue kwenye toilet seat lazima...