Wadada, njooni tufundishane usafi

Wadada, njooni tufundishane usafi

Kuna huyu mwanajf anaitwa Pleasure aliwahi kuongea kitu kuhusu mambo ya usafi. Hiyo link kuiaatach ntakesha

DO NOT USE MADURA STICKS OR TUMABWE OR HERBS TO TIGHTEN YOUR VAGINA.
Your Vagina is a muscle; no amount of sticks or stones or herbs will tighten it. The best you can do to a muscle to work it, please try kegel exercise. You can do this exercise anywhere at anytime.

Do you know why you think your Vagina is tighter after using the sticks or herbs etc? It is because they suck out the moisture from inside and make your Vagina to swell; therefore becoming smaller and you think you are tight.
You are not, you are simply swollen and having sex while swollen will increase your chances of bruising, infection and other health consequences. STOP INSERTING THINGS INTO YOUR VAGINA, LEAVE IT ALONE. Also stop putting vinegar or ice cubes in your vagina

Doctors please, haya mavitu ya kudumbukiza huku hayasababishi na kansa kweli Mmh? ?????
Link husika: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/669424-usafi-ukeni-sharing-is-caring-7.html
 
Hehhehe tunavyopenda kuwa tight sasa, Mmh ngoja watumiaji watakuja kutoa testimonies zao

Hahahaa my dear,madura stick has been for centuries na ukisoma contects zake utaelewa zaidi,am talking from experience wamama watatu niliwadirect watumie hio kistick after kufanya pap smear na kukutwa na risk ya HPV infection,madura stick since waanze kutumia imebadilisha hali zao
It is a must have to every woman(hio ni according to me)
Tatizo soko limevamiwa sasa kuna madura stick fake,tell me about that and I will understand....
 
Ah yani ndo nasikia Leo hizi stick mweeh,what r the side effects?
 
Vistiki vya nini jamani mtakuja umwa maradhi hamyajui uko chini kuko kamaa mpira hutanuka na kusinyaa mazoez Tu itabana tuwe tunajiuliza maswali je wanaouza hizi bidhaa Hua nao wanatest au mbwembwe za biashara??

mie natamani kupata ushuhuda kwa watumiaji, kwani humu hawamo jamani?
 
mie natamani kupata ushuhuda kwa watumiaji, kwani humu hawamo jamani?

Unajua hata me nataman kujua wao wangeanza kama mfano lakin sasa ndo hivo Kuna mtu niliona insta akasema ametumia hicho kijiti akawashwa huko shida zingine hizi za kujitakia tu
 
Hahahaa my dear,madura stick has been for centuries na ukisoma contects zake utaelewa zaidi,am talking from experience wamama watatu niliwadirect watumie hio kistick after kufanya pap smear na kukutwa na risk ya HPV infection,madura stick since waanze kutumia imebadilisha hali zao
It is a must have to every woman(hio ni according to me)
Tatizo soko limevamiwa sasa kuna madura stick fake,tell me about that and I will understand....
Mmh me naijua basi my dear, katika soma soma yangu ndo nimekutana na hizo sticks. Tena uzuri wewe ni doctor, hivi inaruhusiwa kudumbukiza Vitu kwa bibi? Hapo kwenye fake sticks ndo kabisa maana wabongo kwa kuchakachua tu, kuna mtu atapukutika nyuchi
 
Ila bila utani uzi wenu huu umenifunza mengi tu niliyokuwa sijui, nahisi nafanyiwaga bila hata kujue kumbe, hasa hayo madude ya huko down, loh! ndo hapa niko nayagugo gugo niyajue zaidi, ahaaaa aiseee nyie watu mna info balaaa
atoto ndo kajifanya kutuchamba chamba tu hapa na kukimbia bila kutoa darasa
Teh my kaka acha tu, kakitu kadogo ila kana complications hako teh
 
Last edited by a moderator:
Kama una kikwapa au weusi kwenye makwapa,

Usihuzunike,

Chukua kipande cha ndimu na Baking soda,
Sugua mahali husika,
Acha kwa dakk kadhaa then nawa,

Endelea kufanya hivyo kwa wiki mbili,
Utaona mafanikio.

N.b. Hata wenye weusi mapajani, mnaweza tumia hiyo.
 
Ladies,
Siwashauri kutumia hizo sticks kwa kubana uke,

Maana vitu feki vimekua vingi kwa ajili ya kutuangamiza sie wanawake,

Kuna dawa natamani kuwapa ila daah hapa haiwezekani pako wazi sana,
Haina madhara, haina kemikali,
Haiumizi wala kuchubua,
Utaenjoy ww na mwenza wako mpk basi.
 
Mambo mamy...
Naomba tuwasiliane pm
 
Ladies,
Siwashauri kutumia hizo sticks kwa kubana uke,

Maana vitu feki vimekua vingi kwa ajili ya kutuangamiza sie wanawake,

Kuna dawa natamani kuwapa ila daah hapa haiwezekani pako wazi sana,
Haina madhara, haina kemikali,
Haiumizi wala kuchubua,
Utaenjoy ww na mwenza wako mpk basi.

Hiyo dawa ndo kama hizi za kuingiza huku ama ipi mpendwa? Teh mwishowe utajikuta unaitaja sasa
 
Hehehe hata mimi naona wataka niitaje,
Dawa yaitwa,
'Mkombozi wa wanawake'
Lol.
Hahhahah umeniwezaje sasa, sema kuongelea hapa ingefikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi. Ila kama kimaadili si vizuri kuitaja hapa, basi pm itahusika zaidi. Teh eti "mkombozi wa wanawake" lol
 
Back
Top Bottom