Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,081
- 127,792
Mambo yakishafanyika mara ya kwanza inatokea automatically. Unaanzaje kuwaza nivae? Labda huko kwenye snow.
Khantwe anasema ni bikra.
Mmmhh hiyo sentensi ya mwisho imekujaje hapo madam.... I hope imejiandika