Wadada, njooni tufundishane usafi

Wadada, njooni tufundishane usafi

Kuna huyu mwanajf anaitwa Pleasure aliwahi kuongea kitu kuhusu mambo ya usafi. Hiyo link kuiaatach ntakesha

DO NOT USE MADURA STICKS OR TUMABWE OR HERBS TO TIGHTEN YOUR VAGINA.
Your Vagina is a muscle; no amount of sticks or stones or herbs will tighten it. The best you can do to a muscle to work it, please try kegel exercise. You can do this exercise anywhere at anytime.

Do you know why you think your Vagina is tighter after using the sticks or herbs etc? It is because they suck out the moisture from inside and make your Vagina to swell; therefore becoming smaller and you think you are tight.
You are not, you are simply swollen and having sex while swollen will increase your chances of bruising, infection and other health consequences. STOP INSERTING THINGS INTO YOUR VAGINA, LEAVE IT ALONE. Also stop putting vinegar or ice cubes in your vagina

Doctors please, haya mavitu ya kudumbukiza huku hayasababishi na kansa kweli Mmh? ?????

Duh aiseee, we unajua mambo mengi daaah!! ukweli mambo mengi tu humu nilikuwa gizani kabisaaaaaa!!
 
Honestly siaminigi kwenye mavitu ya kudumbukiza huku. Kegel exercise inatosha sana. Juzi tu nimetoka kusoma mahali mtu analalamika kuhusu haya mastick sijui alidumbukiza akaanza kutoka magamba kama nyoka. Afu kumbe hivi madura sticks unazitumia ukimaliza unaosha, unahifadhi vizuri for future use!!!!

Ila usihofu, sasa hivi sikusomi tena!!! ngoja nikimbie ndo ilikuwa ya mwisho hii kusoma, so jimwage tu sista utaniambia zaidi PM
 
Machungwa ni the best, matunda ya citrus na berries ndio yenyewe kwa kusafisha. Mauchafu mengi ni ulaji na mazingira unavyojiweka ofkoz inachangia

nimesoma mahali gooseberries zinafanya maajabu ila namna ya kuzipata ndiyo sijui.
 
Barafu haibani k,inatanua tu... Lakini ukiweka barafu n mnjunjo ukafata kile kiubaridi cha barafu na ile friction kwanza italeta orgasm kwa mdada haraka na male pia ataenjoy
Ice cubes,whisk etc etc ni vikolombwezo tu lakini hakuna phisiology ya kubana huko..
Lakini there is a solution ya kubana huko......

mmmh! Nahisi wivu sijui kwanini?
 
Ahhaha gelofriend wewe Umezidi sasa, mimi nyumbani sivaagi kabisa labda tu kuwe na emergency. Ila Nikitoka navaa tu hamna namna. Sasa kutembea bila tei tei mzigo hautikisiki kama gilesi teh?

Mungu nisamehe kwa kupita hapa! Aisee
 
Kwa msisitizo:
Wadada/Wanawake wengi wanalalamika kuhusu kuwashwa ukeni au kutokwa na ute mzito unaonuka,
Wanatumia dawa nyingi inapoa lakin inarudi,
Je unajua tatizo hasa hua ni nini?


Ukienda chooni kupata haja kubwa wakati wa kunawa mkono hua unaweka kwa mbele,
Kwa kufanya hivyo unakua unatoa uchafu wa nyuma unapeleka mbele,
Ndio unakuta tatizo haliishi, waumwa weeee na huponi,

Ukinawa plz km ni haja kubwa basi mkono pitisha kwa nyuma, hakikisha uke huushiki kbs,
Kama ni mkojo pitisha kwa mbele hakikisha mkono haufiki nyuma.

Shukrani.

Unahjioshaje kwa nyuma kwa kutumia maji?
 
Hata kama chupi umeanika juana tunashauliwa wakati wa kuvaa pitisha pasi pale katikati kuuwa wadudu na ni vizuri kutumia chupi za cotton

Me daktari aliniambia miale ya jua inatosha kuua vidudu.

Kweli kuhusu cotton. Watu tunaangalia bei tu hatuanglii quality. Cotton!!!
 
nimesoma mahali gooseberries zinafanya maajabu ila namna ya kuzipata ndiyo sijui.

Kama upo Dar jaribu kuuliza Oysterbay Shopping Center au nenda kwenye Supper market za Shoppers au kama vipi zama Kariakoo or Kisutu
 
Hahaa leo mjanja wewe bana, ntakukamata tu teh

Ila bila utani uzi wenu huu umenifunza mengi tu niliyokuwa sijui, nahisi nafanyiwaga bila hata kujue kumbe, hasa hayo madude ya huko down, loh! ndo hapa niko nayagugo gugo niyajue zaidi, ahaaaa aiseee nyie watu mna info balaaa
atoto ndo kajifanya kutuchamba chamba tu hapa na kukimbia bila kutoa darasa
 
Last edited by a moderator:
Kwa ambao wana shda ya vikwapa try deodorant stick ya aloevera hizi watu wa forever wanazouza, mi nmeipenda
 
Kama upo Dar jaribu kuuliza Oysterbay Shopping Center au nenda kwenye Supper market za Shoppers au kama vipi zama Kariakoo or Kisutu

ooh ahsante sana nitapita huko nizifanyie majaribio.
 

Attachments

  • 1449856688416.jpg
    1449856688416.jpg
    62.4 KB · Views: 297
Vistiki vya nini jamani mtakuja umwa maradhi hamyajui uko chini kuko kamaa mpira hutanuka na kusinyaa mazoez Tu itabana tuwe tunajiuliza maswali je wanaouza hizi bidhaa Hua nao wanatest au mbwembwe za biashara??
 
Back
Top Bottom