Wadada, njooni tufundishane usafi

Wadada, njooni tufundishane usafi

Duh! yaani kila siku ajisevie kirahisi tu. Siku moja moja inatakiwa ahangaike kupata mechi. Kuvuliwa hicho kivazi napo kuna stimu yake
hehehe kaazi kweli kweli mazoea yana tabu dear siwez Abadan kulala nacho
 
Uwii... Umenikumbusha nilivyokuwa na kama 10yrs nilipataga maumivu kweli huko chini. Nilivyomwambia mama akaja kuniosha na maji ya moto. Ndo siku ile nikafundishwa kuwa nafuta kwenda nyuma.
HIVI KWANINI WATOTO HAWAFUNDISHWI HIVI MAPEMA?
Yani hadi ukubwani mtu hajui hii technique!!!! This is so sad.

Noma noma
 
Duh! yaani kila siku ajisevie kirahisi tu. Siku moja moja inatakiwa ahangaike kupata mechi. Kuvuliwa hicho kivazi napo kuna stimu yake

Kuvua chupi ya mwanamke kwa kutumia meno.
 
Back
Top Bottom