Aisee vyoo vya kukaa havifai kabisa kwa matumizi ya watu wengi. Labda mtu kaweka chumbani huko na mkewe sawa, lakini sio ndo kinakuwa choo kikuu cha familia nzima + wageni; aisee kupokezana makalio pale juu si sawa. Tena kwenye kupuu unaweza kuta maji yamekurukia yereuwiii
Njia nzuri ya kukojoa ni kama unafanya kegel exercise, pale flow ya mkojo ni ndogo sio unafika tu unaachia kojo lote kama ng'ombe waaaaaa, mkojo kukurudia ni rahisi
Ni kweli.Umeyataka mwenyewe....
Kwa kweli hata ukiwa nyumbani ukashinda bila tei tei ni raha ilioje teh. Ila msiwe wengi home maana hukawii kuonesha macinema bahati mbayahiyo ya mwisho ya kulala bila tei tei, aseeeee ni nzuri sana! hihihi
Hao madaktari wanajifanya wanadeal na magonjwa ya kike matokeo yake ndo wanatulia wake zetu na dada zetu.mf akianza kukuonesha jinsi ya kutanua lips umeliwa.
Hao madaktari wanajifanya wanadeal na magonjwa ya kike matokeo yake ndo wanatulia wake zetu na dada zetu.mf akianza kukuonesha jinsi ya kutanua lips umeliwa.
hiyo ya mwisho ya kulala bila tei tei, aseeeee ni nzuri sana! hihihi
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana
Uwii... Umenikumbusha nilivyokuwa na kama 10yrs nilipataga maumivu kweli huko chini. Nilivyomwambia mama akaja kuniosha na maji ya moto. Ndo siku ile nikafundishwa kuwa nafuta kwenda nyuma.?
Ukienda chooni kupata haja kubwa wakati wa kunawa mkono hua unaweka kwa mbele,
Kwa kufanya hivyo unakua unatoa uchafu wa nyuma unapeleka mbele,
Ndio unakuta tatizo haliishi, waumwa weeee na huponi,
huku uporoto mbeya mademu wakimaliza kunya wanaondoka hakuna kunawa mpaka jumapili siku ya kuoga.... hakuna cha uti wala nini
Namba tisa sawa siku za kawaida je siku atumikiazo atalala na nn?? Kuchange nguo ya ndani kwa wakat na kingine pads hakikisha unabadili usikae nalo masaa kibao unakaribisha magonjwa
Kivipi hasa spray-on aerosols zinafanya mambo yanakuwa mabaya zaidi?
Manake siku hizi zipo aerosols nyingi tu ambazo zinakauka haraka zaidi na kupunguza uwezekano wa ku stain nguo na kadhali.
Roll-ons huwa hazikauki haraka. Zinachukua muda mrefu sana.
Mimi naona ni bora hata stick [anti-perspirant deodorants] kuliko roll-ons.
Kwanza roll-ons naona zimeanza hata kupungua madukani.
Nyingi zilizopo ni stick deodorants [including anti perspirants] zenye sweat and stain protection na aerosols ambazo zina dry spray technology. Ukipulizia tu dk mbili tayari ishakauka.
Na uzuri wa aerosol sprays, huwa zinanukia vizuri na manukato yake hukaa kwa muda mrefu zaidi kuliko roll-ons.
Au wewe binafsi unapendelea tu roll-ons?
![]()