Wadada, njooni tufundishane usafi

Wadada, njooni tufundishane usafi

Ndo ukome uache ubazazi wako....cc Heaven Sent
Teh nimekoma, lakini japo ni elimu kwenu, nasi twatakiwa kujua ili kuwasaidia...kumbuka tuna wake na watoto. Jukumu la malezi sio la mama pekee...
Hivi, nawe unatoka kwenda misele bila tei tei? Manake kwa hizo neema sitataka kukutana na wewe...teh
 
Last edited by a moderator:
Mbona huku vijijini kuku wa kienyeji wakoo... Huko mjini vipi!? Kweli u r a that vulnerable ... !! Nimechanganyikiwa. Kuweni mmoja.
 
Teh nimekoma, lakini japo ni elimu kwenu, nasi twatakiwa kujua ili kuwasaidia...kumbuka tuna wake na watoto. Jukumu la malezi sio la mama pekee...
Hivi, nawe unatoka kwenda misele bila tei tei? Manake kwa hizo neema sitataka kukutana na wewe...teh

Na kweli tena jifunzeni tu.......mpenzi wangu umesahau mimi tena kwakweli zile siku za mvua tu .......au kama naenda hospital, church zile sehemu za public maana huko lolote laweza tokea.

Lakini kama niko zangu tu na mambo yangu si ya kuzunguka sana kwa kweli tei tei inipite hiviiii>>>>>>>>
 
Ahhaha gelofriend wewe Umezidi sasa, mimi nyumbani sivaagi kabisa labda tu kuwe na emergency. Ila Nikitoka navaa tu hamna namna. Sasa kutembea bila tei tei mzigo hautikisiki kama gilesi teh?

Kumbe uko vizuri sistaangu, ila ntaakikisha siku ya physical assessment, teh!!
 
Kumbe uko vizuri sistaangu, ila ntaakikisha siku ya physical assessment, teh!!
Hehehe hehhehehehhe he nimechekaje, kwa mpango huo physical assessment imesitishwa till further notice.
 
Na nyie siku hizi ni wadada??

Tuna watoto wa kike, kama responsible dady ni muhimu kujua, so acha roho mbaya, tena ningejua nisingekuita, muone kwanza!!!

BTW marafiki zangu wa kike enzi hizooo karibia wote (kwa sample size yangu) walikuwa wanakwepa kunywa maji daytimes ili wasiende kukojoa, eti watanuka mchojo. With this darasa I can understand now why they behaved that way
 
Hehehe hehhehehehhe he nimechekaje, kwa mpango huo physical assessment imesitishwa till further notice.

Hahaaaaaaaa too late nshatiki hiyo tayari sista, sasa bado viwili tu nakamilisha assessment yangu nzima, thanks kwa kunirahisishia kazi
 
Hao madaktari wanajifanya wanadeal na magonjwa ya kike matokeo yake ndo wanatulia wake zetu na dada zetu.mf akianza kukuonesha jinsi ya kutanua lips umeliwa.

ahaaaaaaaa wagonjwa chakula cha ma dr
 
Mbona huku vijijini kuku wa kienyeji wakoo... Huko mjini vipi!? Kweli u r a that vulnerable ... !! Nimechanganyikiwa. Kuweni mmoja.

Lifestyle.

-Mjini tunatumia vyoo vya kukaa na kuchuchumaa.... Huko vya shimo.

-Mjini tunavaa nguo za kubana kila mahali. Huko ingawa kuna layer za nguo (gagulo, undersketi , sketi, kanga) , mara nyingi chini pako wazi so hewa ipo.

-watoto wanalelewa kwa usafi zaidi mijini. Ni rahisi kuugua wakianza uchafu ukubwani.

-Mjini tunatumia toilet paper. Sio nzuri.

-Mjini joto.

-mijini mitoto hakui. Kijijini kadada kadogo kama kamama. Wanafundishwa wakiwa wadogo.
 
Tuna watoto wa kike, kama responsible dady ni muhimu kujua, so acha roho mbaya, tena ningejua nisingekuita, muone kwanza!!!

BTW marafiki zangu wa kike enzi hizooo karibia wote (kwa sample size yangu) walikuwa wanakwepa kunywa maji daytimes ili wasiende kukojoa, eti watanuka mchojo. With this darasa I can understand now why they behaved that way

Wacha weeee! Kwahiyo utamuita na kuanza kumpa darasa huyu mwanao? Acheni umbea nyie wanaume!!!
 
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana

mimi hii kitu siipendagi kama niko ndani wala siangaiki nayo. Usiku bila kuitoa usingizi unagoma
 
Hahaaaaaaaa too late nshatiki hiyo tayari sista, sasa bado viwili tu nakamilisha assessment yangu nzima, thanks kwa kunirahisishia kazi

Aah wewe jidanganye tu sasa, afu siku ya assessment sura ikubadilike baada ya kuniona. Utatabasamu kilazima
 
Wacha weeee! Kwahiyo utamuita na kuanza kumpa darasa huyu mwanao? Acheni umbea nyie wanaume!!!

Sista malezi ni ya wote baba na mama mnashirikiana, ni kuvunja ukimya tu siku hizi
 
Dah bora somo tofauti.

Nilivyoona heading nilidhani ni somo la kutia vidole kusafisha uke.....

Hapo kwenye tp heri watumia tissue maalum kwa ajili hiyo...mist of them si kavi na haziachi residue huko kwa bibi
 
Back
Top Bottom