Wadada, njooni tufundishane usafi

Wadada, njooni tufundishane usafi

Hehhehehehhe aibu nimeona mimi jamani. Me mzima kabisa my kaka, za ma siku tele? Huku fanya kupita ukiwa umefumba macho bana

Yani hapa nimeyafumba ata kuandika natumia uzoefu wa kujua heru za keypads pale zilipo.

Za masiku ni nzuri tu Dada yangu naona umenitenga kweli siku hizi....

Endeleeni na darasa lenu mi napita juu kwa juu...
 
Hahaha siwezi kukutenga bana my kaka, bora tu upite kwa kweli, darsa halikufai hili lol
 
Mmh me naijua basi my dear, katika soma soma yangu ndo nimekutana na hizo sticks. Tena uzuri wewe ni doctor, hivi inaruhusiwa kudumbukiza Vitu kwa bibi? Hapo kwenye fake sticks ndo kabisa maana wabongo kwa kuchakachua tu, kuna mtu atapukutika nyuchi

Hehehe,kwani inaruhusiwa kuingiza boroyanki huko kwa bibi?my dear think....
Madura stick ni dawa,watu wanaosumbuliwa na harufu,fungus na uti,na utoko etc hio kubana k its a minor bonus thing ambayo ndio kila mtu anaijua
Kwakua maumbile ya mwanamke yako wazi tupo na risk ya ascending infection
Kwa mama mwenye afya yake anashauriwa atumie once per month kutokana na kuona mwezi wake baada ya hapo anashauriwa atumie ukimaliza unaosha na kuihifadhi sehemu kavu na salama,unaosha sababu utaweza itumia next time na kwakua ni dawa haiwezi kukusanya wadudu wakaishi kwenye hicho kistick kwaio kuosha na kuhifadhi ni salama
Nilisema from experience, kistick sijakiskia leo ni mda,mama zangu wadogo kwa wakubwa wametumia mpaka sasa sijasikia alietolewa fibroids wala matatizo huko chini,uti tunaiskia kwa wengine....
Narudia tena huko Asia haswa Philippines ndio wanaongoza kutumia for many years historically and it was proved wao ndio wenye k zilizobana kuliko wanawake wa mabara mengine hahaha, one of the factor was madura stick sasa naona kina msupuuu wakavamia hayo mambo na ndio tumefika hapa.....
Ushauri ni stick to what you believe sababu kwanza mistick fake ishaingia
Side effect: mimba nje nje,kwa wenye tatizo la kupata watoto hii inaweza kua moja ya solution
 
Kama una kikwapa au weusi kwenye makwapa,

Usihuzunike,

Chukua kipande cha ndimu na Baking soda,
Sugua mahali husika,
Acha kwa dakk kadhaa then nawa,

Endelea kufanya hivyo kwa wiki mbili,
Utaona mafanikio.

N.b. Hata wenye weusi mapajani, mnaweza tumia hiyo.

Mmmh my dear si tutaunguza makwapa🙈🙈🙈
 
Hehehe,kwani inaruhusiwa kuingiza boroyanki huko kwa bibi?my dear think....
Madura stick ni dawa,watu wanaosumbuliwa na harufu,fungus na uti,na utoko etc hio kubana k its a minor bonus thing ambayo ndio kila mtu anaijua
Kwakua maumbile ya mwanamke yako wazi tupo na risk ya ascending infection
Kwa mama mwenye afya yake anashauriwa atumie once per month kutokana na kuona mwezi wake baada ya hapo anashauriwa atumie ukimaliza unaosha na kuihifadhi sehemu kavu na salama,unaosha sababu utaweza itumia next time na kwakua ni dawa haiwezi kukusanya wadudu wakaishi kwenye hicho kistick kwaio kuosha na kuhifadhi ni salama
Nilisema from experience, kistick sijakiskia leo ni mda,mama zangu wadogo kwa wakubwa wametumia mpaka sasa sijasikia alietolewa fibroids wala matatizo huko chini,uti tunaiskia kwa wengine....
Narudia tena huko Asia haswa Philippines ndio wanaongoza kutumia for many years historically and it was proved wao ndio wenye k zilizobana kuliko wanawake wa mabara mengine hahaha, one of the factor was madura stick sasa naona kina msupuuu wakavamia hayo mambo na ndio tumefika hapa.....
Ushauri ni stick to what you believe sababu kwanza mistick fake ishaingia
Side effect: mimba nje nje,kwa wenye tatizo la kupata watoto hii inaweza kua moja ya solution

Teh bana "babu" anaruhusiwa kuingia kwa "bibi muda wote tu. Me nilitaka general knowledge, and thanks to you coz umenipa ya kutosha. Atleast wewe unaijua muda mrefu, me nimeisikia juzi juzi tu ndo kukuta na watu wanalalamika juu, ( possibly ndo hizi fake sticks). Na wengi wanaongelea sticks as njia ya kufanya K iwe tight, hizo faida ambazo ndo core wengi wetu hata hatuzijui. Naendelea kufukunyua nikikuta kitu nisichokielewa ntakuuliza tena please. Thanks
 
Back
Top Bottom