Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

Mimi juhudi zake , upendo na anavyowakea familia yake kama wazazi wake na wanawake wanaomzunguka .
Tabia , anavyojichukua anajielewa .
Anajipenda na usafi wake , handsome sio lazima awe na sura nzuri ila hata usafi tu kuanzia ndani ya nyumba yake hadi mwili wake na nguo zake .
Usafi ni kitu kikubwa kwa mwanaume na mwanamke.
Halafu tabia yake , mwanaume mwelewa ni kitu kizuri yaani mimi hadi nijitoe kwa mtu ni mengi sana aisee .
Mwanaume asiye na visiri visiri pia nampenda mwanaume mkimya kiasi nampenda mtambuzi mwelewa ambaye hakupigi pigi nakuwa na wivu waukengee .
 
Unataka hivyo ili ufanye unavyo jiskia ama?

Ila nyie wanawake bwana, basi sawa. Nitazingatia usafi. Ila vingine nitafanya kwa kiasi
 
Unataka hivyo ili ufanye unavyo jiskia ama?

Ila nyie wanawake bwana, basi sawa. Nitazingatia usafi. Ila vingine nitafanya kwa kiasi
Yaani nikuambie tu usijibadilishe kuwa wewe tu maana ukiongeza manjonjo hutoweza kila siku kuwa wewe utapata atakaye kupenda nakukudhamini nakuwa nawewe kwa shida na raha .

Mwanamke hakai kwasababu unahela unajali au unampenda mwanamke anakaa kwa sababu yeye ndio alikupenda jua hilo .

vitu vyakuzingatia kuwa mkweli tu uwe mtu sio wawapenzi wengi na ujali usafi kama kumpenda mtu fungua moyo pale ambapo unapendwa
 
Nimeipenda hii, na hilo ndo jibu lenye mantiki.
 
Hela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…