umefika kazini kweli??pole sana kwa mfadhaiko...mwenzio nimekutana nayo kama hiyo usubuhi nakuja kwa ofisi pale mitaa ya chuo cha ustawi.
hebu watuwache tupumuwe kila siku women this, women that utafikiri wao ni malaika. kwani hizo nguo tunazitengeneza sisi.basi viwanda vya nguo vifungwe turudie magome ya miti.
Hebu tupia picha nikuone!
utavaa magome ya miti wewe binti wa kileo! Ishu ni kubadilika kitabia tu,.
basi nenda kwenye rasimu ya katiba mpya ukatoe maoni. na ujue huwezi kulazimisha watu wafanye kitu unachokitaka wewe. ukiona unashindwa kuvumilia hamia falme za kiarabu huko labda utaweza ishi bila kaona vimini.
Sina ukurutu acha nipumue na min skirt yangu......ukiona unakereka bas taga yai kama la mbuni ndo ntaacha!!!
ya kazi gani??
Kina dada mkitutega tukinasa msirushe ngumi mtulie ili mambo yaende sawa.
ukibakwa haraumiwe nani?