asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Ndo uwape taarifa vidume wenzako hivo.
vidume vya ukweli hatulalamiki kuona curve shapes na mapaja yenu wewe.............
Miili yetu ni mnato, inavutia.
Kwanini tusivae nguo fupi mdogo wangu!
Watuache tuvae miss strong...
Kama wanaona wivu, wamwambie Paw awapige Ban.
Watoto tumeumbika.
Mwili nyoronyoro.
Miili yetu ni mnato, inavutia.
Kwanini tusivae nguo fupi mdogo wangu!
Watuache tuvae miss strong...
Kama wanaona wivu, wamwambie Paw awapige Ban.
Watoto tumeumbika.
Mwili nyoronyoro.
Miili yetu ni mnato, inavutia.
Kwanini tusivae nguo fupi mdogo wangu!
Watuache tuvae miss strong...
Kama wanaona wivu, wamwambie Paw awapige Ban.
Watoto tumeumbika.
Mwili nyoronyoro.
Kwahiyo umemaanisha ni haki kuyaonyesha?
Hapo tutaenda sawa kabisa.
Ndo hapo sasa.......watoto laini fulu mvuto,mistar ya utamu kwa mbali kwenye magot,hao mnaowaona wanavaa mpaka kuburuza wanatutamani sana sema wengine mistar imewajaa kama pundamilia
hapo kwenye red, ungekuwa mod wewe,.. Sipati picha
Raha ya mwanamke aonyeshe maumbile bwana kajaliwa afanyaje sasa jaman. me napenda kuwaona wanawake wamevaa ovyo na jinsi wanaume wanawaitita me huwa nakuja nyuma nyuma kufurahia mitazamo ya watu vaeni bwana tu watu wasafishe macho ata chupi msivae.
jamani eeeh msituchoshee. nyie wanaume wa miaka hii sijui mna nini mbona zamani wanawake walikuwa wanaficha papuchi tu kwa magome ya miti lakini wanaume walivumilia tu na hawakuwa na tatizo kabisa.