kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,059
- 694
Baba Mtumishi,
huku utatengua nafsi yako.
Hakukufai kabisa.
Nisubiri nyumbani...nitakuletea jibu.
Hahahah........natangulia. Ila nina hamu na MNATO.
Baba Mtumishi,
huku utatengua nafsi yako.
Hakukufai kabisa.
Nisubiri nyumbani...nitakuletea jibu.
Kama ya Makamu wa mwenyekiti wa CCM Mangula" Je, mavazi ya kitamaduni ya mtanzania ni yapi?
Hahahah........natangulia. Ila nina hamu na MNATO.
Hamna kitu hapo. Milonjo mitupu.
Aisee yaani huyu tinna cute ana vionjo vyangu vyote!:A S 39:
jamani eeeh msituchoshee. nyie wanaume wa miaka hii sijui mna nini mbona zamani wanawake walikuwa wanaficha papuchi tu kwa magome ya miti lakini wanaume walivumilia tu na hawakuwa na tatizo kabisa.
Kwann untie machon???nipo hivyo sasa kwan sarikoki hukumuelewa???
Una uhakika mkubwa!? ...basi toa comments juu ya hii pia.Tatizo si mavazi naona tatizo ni wanapendeza sana...
Hujaona picha moja juzi kati Michuzi amepiga na wanawake wa ukweli toka Namibia...wamekaa katikati ya mji wanauza vitu vya asili huku maziwa yako wazi....Hayo ndio mavazi asili ya muafrika...nguo ni za wazungu na waarabu
wewe kama hupendi masharti yaishie kwa mke au girlfriend (maana hata dada yako huna mamlaka nae)
Toa reference ya nguo za kitamaduni asili kabisa ya Tanzania ambazo ni ndefu.
Nayo hanaNina mashaka kama huwa unavaa chu.pi
Toa reference ya nguo za kitamaduni asili kabisa ya Tanzania ambazo ni ndefu.
Kama ya Makamu wa mwenyekiti wa CCM Mangula
Mnato usubiri nyumbani.