Wadada na nguo fupi!!!

Wadada na nguo fupi!!!

Duh nimekubali...."unaita" si kidogo!
profilepic172682_9.gif

totoo cute!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtuwache tupumue jamani.
Dar kuna joto kali.
Mwili wangu hauna ukurutu, mguu wangu mtamu.
Kwanini nisivae nguo fupi.

achana nae huyo....mi naomba uzipunguze zaidi iwe kama umevaa belt badala ya skirt.......
 
Na si hivyo tu, kuna wengine wanavaa nguo zinabanaaaaaaaa, jinsi mbano, au kuna wanaita leggins sijui, yani basically ni naked,

Kweli hawa ndugu zetu, tuishi nao kwa maakili

Mwambie sasa, ni ugomvi ugomvi ugomvi,
 
Bora kina mama je, wavulana wanaovaa kata K? michupi michafu inaleta uchafu kabisa kwenye jamii. Wanaume tusaidie kupiga vita ili tuwe na moral authority ya kuwaambia kina mama.
 
Tatizo si mavazi naona tatizo ni wanapendeza sana...

Hujaona picha moja juzi kati Michuzi amepiga na wanawake wa ukweli toka Namibia...wamekaa katikati ya mji wanauza vitu vya asili huku maziwa yako wazi....Hayo ndio mavazi asili ya muafrika...nguo ni za wazungu na waarabu

wewe kama hupendi masharti yaishie kwa mke au girlfriend (maana hata dada yako huna mamlaka nae)
 
Afu utashangaa huyo anayeweka masharti kwa mkewe akifika job wa kwanza kutoa comments kwa wenye vimini 'umependeza'


Vaa jitenge uone kama kuna atakaye kusifia....changanya na zako


(kuna siku nilipiga mini job kila jinsia ya kiume ilikuwa inanipa tano nikipishana nayo...achana na hawa watu...ni insecurity at work inayofanya walete hizi nyuzi)

vimini navipenda sana na vinanitoa balaa!!!! maajariwa lazima niyaonyeshe anakereka ashushie tindikali!!!!
 
Miili yetu ni mnato, inavutia.
Kwanini tusivae nguo fupi mdogo wangu!
Watuache tuvae miss strong...
Kama wanaona wivu, wamwambie Paw awapige Ban.
Watoto tumeumbika.
Mwili nyoronyoro.

Hahahah........maelezo tafadhari hapo kwenye MNATO Mama Mtumishi.
 
Last edited by a moderator:
Wanaonikera ni wale wanaume wanaoshadadia na kusisitiza wake/gf zao wavae hivo vijinguo kisa mkewe ana umbile zuri, sijui miguu mizuri afu kesho kutwa akitongozwa na hao wanaoiona hiyo miguu na mapaja na manyonyo unaanza kujifanya kuleta ukali kwa mkeo/gf eti hupendi sijui awe na mazoea sijui na nani....aahhh wakati ulikiacha kidonda wazi mwenyewe acha nzi watue unawafukuzia nini?
 
Biashara matangazo kaka,wanajitangazia biashara zao.
Nalog off
 
Toa reference ya nguo za kitamaduni asili kabisa ya Tanzania ambazo ni ndefu.
 
Tatizo si mavazi naona tatizo ni wanapendeza sana...

Hujaona picha moja juzi kati Michuzi amepiga na wanawake wa ukweli toka Namibia...wamekaa katikati ya mji wanauza vitu vya asili huku maziwa yako wazi....Hayo ndio mavazi asili ya muafrika...nguo ni za wazungu na waarabu

wewe kama hupendi masharti yaishie kwa mke au girlfriend (maana hata dada yako huna mamlaka nae)

Asante kwa hii sms maana watu hua wanang'ang'ani asili ya Tanzania mara hoo utamaduni sijui bla bla while nguo karibu zote za asili ni fupi
 
Aisee yaani huyu tinna cute ana vionjo vyangu vyote!:A S 39:

Sasa kaka si umcheki PM umweleze haja ya moyo wako maana, mpaka umesema hivi mapigo ya moyo naona yalishakupanda haha.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU

Similar Discussions

Back
Top Bottom