mkuu akili zako umeziacha bafuni bila shaka,..
Tumekusikia.....Tutakufikia
Cha bafuni nacho matata kama nini
Ninyi mnapovaa zile surali zenu za kuacha ncha za ma.ta.ko nje mbona hatuwasemi kwamba mnakera? Waelimishe wenzako kwanza mbadilike ndiyo upate mfadhaiko kwa kuangalia mapaja yetu.hapana mkuu, tunaelimishana tu kistaarabu, mbona wengine wamebadilika bhana
Hakuna jipya mbona enzi za mabibi zetu walikuwa wanavaa hizo mini na mababu zetu walikuwa wanaona kawaida, hizo mila zenu vijana wa kileo mnazitoa wapi, tamaa zenu zinawasumbua mnasingizia eti mila na desturi. Usinitukane mimi sivaagi mini mchana mpaka usiku natoka out nilishajaribu kuvaa mchana nikasababisha ajali, ila wadada wanapendeza na fashion zao. Acheni tamaa hivi wanaume wapo afrika peke yake kwingine kuna wanawake peke yao?
Nina mashaka kama huwa unavaa chu.pi
Ninyi mnapovaa zile surali zenu za kuacha ncha za ma.ta.ko nje mbona hatuwasemi kwamba mnakera? Waelimishe wenzako kwanza mbadilike ndiyo upate mfadhaiko kwa kuangalia mapaja yetu.
Yake anaiacha ipigwe na vumbi za ujenzi wa Morogoro roadkusitiria pa....chi!!
Jooto babu wee!!!
Nina mashaka kama huwa unavaa chu.pi
ya kazi gani??
Duhh kazi ipo!Sipati picha,kimini alafu ndani hamna naniiiiii,,,,,,,!Mbona toka Dar tutaona mpaka gesi ya Mtwara!