Wadada na nguo fupi!!!

Wadada na nguo fupi!!!

Nina mashaka kama huwa unavaa chu.pi
Wacha hiyo maneno, zamani ilikuwa kuona makalio unayanatafutwa kweny chu...pi, siku hizi unatafuta ch.pi kwenye makalio, huwiiiiiiii! dada zetu acheni mambo hayo eti, mtakuwa mnaachika kila kukicha lol!
 
Jamani hebu tuwekane sawa, utamaduni wetu ni upi? kama kuwaiga wenzetu naona hata hayo mavazi tumeiga.
 
wachane haoo,..
 
Jamani hebu tuwekane sawa, utamaduni wetu ni upi? kama kuwaiga wenzetu naona hata hayo mavazi tumeiga.

hata mimi nashangaa sijui huo utamaduni wetu wanaouzungumzia ni upi sasa.
 
Utamaduni wetu ilikua wanafunika mbele tu, makalio yanakua wazi!!
Sasa suala la kuvaa nguo fupi huoni kuwa ni improvement toka tulichokua tunavaa awali!?

Binafsi huwa hoja ya utamaduni hainiingii akilin! Waambieni mengine tu!
 
images
Dah aise kitu kimesimama gafla
Mkuu acha kupost vitu kama hivi unaondoa kabisa mood ya kazi matokeo yake unajikuta mtu unaanza kuwaza mambo yetu yaleee!!
Haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sema wewe DEMBA Nkisema mimi Munkari naambiwa nina munkari! Loh!

hebu watuwache tupumuwe kila siku women this, women that utafikiri wao ni malaika. kwani hizo nguo tunazitengeneza sisi.basi viwanda vya nguo vifungwe turudie magome ya miti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom