Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
umenikumbusha demu wangu wa kigogo..
Hilo linaitwa dira na hutakiwa kuvaliwa nyumbani, ndani tu na si la kutokea nje, lakini kwa ushamba wa hawa kinadada wengine wanavaa mpaka nje. Wakikuwa watajuwa waache watuburudishe.
Ukiona ajabu ya kuchomekea, vipi ya KK?
vs
Ipi bora?
hiyo tabia siipendi......................... sijui kwa nini huwa wanafanya hivyo
Ni uswahilini to ze maximum!
Uswahili uliopitiliza ndio tatizo,wakute wako kwenye shuhuli ya besen au arobain ya mtoto ni balaa uchomeakaji wake ni zaidi ya ule wa kawaida!