Nifanyeje? Huyu msichana kanifanya nishindwe kabisa kushiriki tendo la ndoa

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
549
785
Daaah! Wazee kuna baadhi ya wanawake sehemu zao za siri zinatoa harufu.

Najiuliza wakati nakutana naye alifichaje ile harufu bado sipati majibu Mazee.

Wanajamvi nikiri nilikutana na demu nikatongoza kwa picha za Filter, nilipokutana naye nikamuona yuko tofauti kidogo ila kwasababu ya umalaya nikaona siyo mbaya nimpelekee tu Mjegeje afu nifanye yangu.

Shida ikaanza baada ya kuingia room, wakati anavua nguo alionekana hana confidence harufu kali ikaanza kusambaa chumbani taratibu, nikaona huyu kushikanashikana sitaweza nijikaze tu nimpelekee moja fasta nisepe zangu hela yangu isipotee.

Nikamwambia avue chupi naona anajifunikafunika tumboni nikahofu sijui ana Mkanda wa jeshi ila nilichungulia niliona kitu kama alishajifungua kwa operesheni, nikamwambua panda ufungue mapaja anagoma baada ya kuongea ongea naye akafungua nilitaka kuzirai kwa harufu na jinsi alivyo huku chini, sijajua ni Fangasi au nini ila sikuweza kuendelea nikakubali kupoteza hela zangu na nauli nikampa tu.

Ila tatizo lililonipata ile picha haitoki kichwani kiasi nachefuliwa na papuchi zote sasa hivi hata nikikutana na my all ngoma inakataa kabisa kuamka, na ile picha imekataa kutoka sijui nifanyeje wakuu

Naomba msaada tutani.
 
Daaah!Wazee kuna papuchi zimeoza kabisa!

Najiuliza wakati nakutana nae alifichaje ile harufu bado sipati majibu Mazee.

Wanajamvi nikiri nilikutana na Dem nikatongoza kwa picha za Filter,nilipokutana nae nikamuona yuko tofauti kidogo ila kwasababu ya Umalaya nikaona siyo mbaya nimpelekee tu Mjegeje af nifanye yangu.

Shida ikaanza baada ya kuingia room,wakati anavua nguo alionekana hana confidence harufu kali ikaanza kusambaa chumbani taratibu,nikaona huyu kushikanashikana sitaweza nijikaze tu nimpelekee moja fasta nisepe zangu hela yangu isipotee.

Nikamwambia avue chupi naona anajifunikafunika tumboni nikahofu sijui ana Mkanda wa jeshi ila nilichungulia niliona kitu kama alishajifungua kwa operesheni,nikamwambua panda ufungue mapaja anagoma baada ya kuongeaongea nae akafungua nilitaka kuzirai kwa harufu na jinsi alivyo huku chini,sijajua ni Fangasi au nini ila sikuweza kuendelea nikakubali kupoteza hela zangu na nauli nikampa tu.

Ila tatizo lililonipata ile picha haitoki kichwani kiasi nachefuliwa na papuchi zote sasa hivi hata nikikutana na my all ngoma inakataa kabisa kuamka,na ile picha imekataa kutoka sijui nifanyeje wakuu
Naomba msaada tutani.
Kama una mawasiliano nae mshauri aende kwa daktari wa wanawake akatibiwe or may be hana hela muwezeshe kidogo, utabarikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom