Sasa tukiwakuta wachaga kadhaa kwenye uongozi taasisi fulani au vyama vya siasa fulani tusiwaite wakabila 'wa Kaskazini', bali tukubali kuwa waliwekeza vya kutosha kwenye kujielimisha wao na vizazi vyao, na wanastahili kukamata nyadhifa mbalimbaliMoja ya kitu wanachopatia ni kukumbuka nyumbani na kutosahau elimu.
Kwahilo wanastahili pongezi.
Ni kweli wengi wako vizuri kutafuta ila wengi wanaazima magari kwa kukodi ili waoshe jina huku kwao. Fedha yao nyinhi ya ushirikina sana. Mimi nimeishi huku mwaka wa tatu sasa. Kuna mengi ya wachaga hujayajua. Ni noma sana
chadema
mbona mheshimiwa raisi anapaendeleza kwao bwagamoyo kwahyo na wenyewe wakishika me sitaona ajabu wakiwapendelea wachaga wenzao, it's human nature
Mkuu mi sio mchaga, ila kwa hili unatetereka. Wachaga wana kitu ambacho ni "unique" especially kuchangamkia fursa zinazokuja mbele yao!! Binafsi nipo Katavi mkoa mpya, ila speed ya hawa jamaa sio mchezo. Nilibahatika kwenda Kinshasa, nilikutana na wachaga wanamiliki daladala kule! Starehe kwake sio mpango wa maisha. Na kitu ambacho hukijui, wanajali kwao kuliko kabila lolote Tz!!
Amini usiamin, miji mingi imepwaya kutokana na hawa jamaa kwenda kwao kula xmas. Huu utamaduni ni mzuri mno, just imagine wanasaka noti mwaka mzima, na mwisho wa mwaka wanaenda kujumuika na kula na wale waliowaacha kule vijijini.
Kwa bahati mbaya, wengi wetu hatuelewi, tunadhani ndivyo sivyo! Big up wachaga, hata kama wapo nje ya nchi, watakuja mwisho wa mwaka, what a lovely culture!!!
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.
Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.
Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.
Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.
Naomba Kuwasilisha
Hahahahaaa..
Kaka nimekosa nauli ya kwenda kupiga Bakora kijijini.
sasa kule watapendelea nini zaidi wakati kila kitu kipo?
home kwetu mzee aliweka umeme toka mwaka 1990 na ni kijijini mlimani kabisa.
na hamna nyumba ya udongo kijiji kizima!
Mpiga domo usijali nitakujiri uwe mpambe wangu...........manake unavyojuwa kufagilia!!!??? hiv wewe roho yako imesuuzika livyoona watu wanaedesha magari ya kifahari.....kwe umbululaWakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.
Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.
Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.
Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.
Naomba Kuwasilisha