Wachaga ni Noma!


hata wenye bcycle tupo huku, tuanfukuzana na hizo range rover
 
Kwa dhana hiyo hiyo tungetegemea kuwepo na maendeleo kama hayo ya Moshi, kule Lushoto, Njombe, Ndanda, Mgeta etc lakini ni kinyume chake!
 
Uliona gari yangu pale kilema karibu kanisani??? Rolls royce phantom.black on black
 
NI kweli Pasco
sasa wewe umefika zamani, kwa sasa barabara ile kuanzia marangu Himo hadi Mwika na ile ya Njia Panda Holili hadi Mwika na kuanzia mwika hadi Rongai sio mchezo......Anne KIlango aliikubali akasema ni ya kwanza Afrika kwa ubora
watu wameangusha majengo sio mchezo ikiwemo gorofa ndani kabisa vijijini humo hata watu wa kukaa hakuna.....ndio wachaga hao.Ukiwa na kazi au biashara lazima uangushe mjengo ili watu wajue una hela
wana ujamaa mwingine wa elimu. Mtoto lazima asome sekondary atasaidiwa na uncle,shangazi na ndugu....
 
Uliona gari yangu pale kilema karibu kanisani??? Rolls royce phantom.black on black

Hahahaha mkuu umetisha sanaaa wewe itakua ni ukoo wa Mbuya, Mawalla, Temu, Moshi au Maliti..???

Halafu nasikia nyie wa'kilema wajeuriiii, mna dharauuuuu lakin wengi mmesoma sanaaaa

Jina lenyewe kilema eti nasikia limetokana na neno kilelelema maana yake walioshindikana
 

Na tukichagua rais toka huko kila mmoja atamiliki hizo mikoko.
mpe kura lowasaa au dr slaa
 
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!
embu tumia akili kijana nani anaweza kukukodishia hata corolla tu kama u dont worth corrola? embu we kama unauwezo wa corolla nenda kakodishe hiyo range 2012 tuone!
 
embu tumia akili kijana nani anaweza kukukodishia hata corolla tu kama u dont worth corrola? embu we kama unauwezo wa corolla nenda kakodishe hiyo range 2012 tuone!

hahahahaha mkuu embu mwambie huyooooi, anafikiri range rover ni kama boda boda
 
Na tukichagua rais toka huko kila mmoja atamiliki hizo mikoko.
mpe kura lowasaa au dr slaa

mbona mheshimiwa raisi anapaendeleza kwao bwagamoyo kwahyo na wenyewe wakishika me sitaona ajabu wakiwapendelea wachaga wenzao, it's human nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…