johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,048
- 142,160
Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi.
Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema " masalia"
Ndio kusema wabunge wa Chadema asilia wanaweza kuikosa fursa adhimu ya kukutana na mkuu wa nchi katika kipindi chote cha ubunge.
Naelewa baadhi yao kama mchungaji Msigwa, Prof Jay, Sugu, Lema na hata Heche walishakutana na Rais katika majimbo yao wakati Dr Magufuli alipofanya ziara lakini sikumbuki kuwaona wakibahatika kupiga picha ya pamoja, Labda Sugu pekee ndio alibahatika kupanda gari ya Rais Magufuli pale Mbeya na kuwasalimia wapiga kura wake.
Maendeleo hayana vyama!