Watanzania watakapo amka na kuwatambua hawa wahuni wa CCM,wote wanatakiwa kuhama kutoka katika taifa lao na kutafuta pakwenda kwani watakuwa walishauzwa bila kujua😂Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Angalau leo umekuja vizuri sanaIfahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Wananchi wana hasira sanaIfahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Wananchi wana hasira sana
Lakini hawana akili ya magufuli, magufuli hakuwahi kumiliki mafilifili kichwani!.Wabunge wa Magufuli.
silkilza hoja huko bungeni acha vioja. mmelowaaaLakini hawana akili ya magufuli, magufuli hakuwahi kumiliki mafilifili kichwani!.
Nipo bungeni hapa sina haja ya kusikiliza kwenye radiosilkilza hoja huko bungeni acha vioja. mmelowaaa
Wananchi wana hasira sanaIfahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Hasira zipo siku zote, lakini kwa uoga huu wala cake ya taifa wataendelea kufanya watakavyo. Kila siku nasema huku, bila machafuko hakuna lolote tutazuia. Walianza kwa kutest kuhamisha Wamasai huko ngorongoro kwa ajili ya kuwapatia waarabu. Wameona inawezekana, sasa ni mwendo wa kufanya watakavyo tu.Wananchi wana hasira sana
Leo umeongea la maanaIfahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Ni lazima tuwe wakwel bila unafiki, CCM haijawah kuweka mbele maslahi ya Taifa hata siku moja!! Mwenye mashaka na hili aseme waz hapa!!Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Mlichukua hatua? Au mlilamika?Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Ila shujaa ndiye chanzo cha kupatikana hili bunge bovuAngalau leo umekuja vizuri sana
Black movement... Mbona unajib kama vile huijui CCM na serikali yake? Wabunge wa upinzani always mikataba mibovu hua wanapinga mpaka wanatolewa nje! Ukirud kweny Mahakama zote zipo under CCM voice, geshi ra porishi under CCM voice. Je unataka wapinzani wangefanya nn? Hata wakijitoa wauwawe unadhan mikataba ingesitishwa?Mlichukua hatua? Au mlilamika?