Rais Biden anakwenda kuiuliza serikali ya Israel maswali magumu

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Hatimaye baada ya Bwana Blinken kufeli kwenye kazi aliyotumwa sas Bwana Mkubwa ametinga mwenyewe Tel Aviv kuhakikisha mambo yanakaa sawa.

Msemaji wa baraza la usalama la Marekani amesema Rais wa nchi hiyo anakwenda kuwahoji waisrael kwa maswali magumu na ya msingi atakapofika Tel Aviv.

Ameelezea kuwa maswali hayo hayatakuwa kwa nia mbaya lakini ni kwa nia njema ya urafiki wao na israel.

Amedokeza kuwa Bwana Biden pia atapenda kujua hali halisi ardhibi Gaza, Mipango yao, Malengo yao kwa siku zijazo. Pia amesisitiza kuwa Biden atakwenda kuweka wazi kuwa asingependa mgogoro huo uzidi kuongezeka na kuenea Mashariki ya kati.

Pia ameongeza kuwa Bw Biden angependa kujua hali ya mateka wanaoshikiliwa na HAMAS.Ikumbukwe kuna Wamarekani kadhaa pia wanashikiliwa na Hamas na ni jukumu la Rais wa nchi hiyo kuhakikisha usalama wao.

================

US President Joe Biden will be asking Israel’s government “some tough questions” when he arrives in the country on Wednesday, National Security Council spokesperson John Kirby has told the reporters aboard Air Force One. However, he clarified that Biden will not be doing so in an “adversarial” manner, but “in the spirit of a true, deep friend of Israel.”

The president is “going to get a sense from the Israelis about the situation on the ground, and, more critically, their objectives, their plans, their intentions in the days and weeks ahead,” Kirby said. Biden will “make it clear that we continue to want to see this conflict not widen, not expand, not deepen,” he added.

According to Kirby, Biden will also be discussing the situation with the hostages held by Hamas, deliveries of humanitarian aid to Gaza, and the needs of Israel, making it clear “that we will do everything we can to meet those needs.”
 
Six airports across France evacuated following emailed ‘threats of attack,’ a police source told AFP.

Subscribe to RT
 
Back
Top Bottom