#COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

Mh MSUKUMA ndie alie waambia wabunge wa Uganda kuwa kwetu hakuna corona🤣
 
Mpaka na sisi tutengeneze variant yetu kama Afrika Kusini walivyotengeneza Omicron halafu tupigwe marufuku kusafiri ndiyo tutaelewa. Kuna siku tutakiheshimu tuu hiki kirusi cha corona.
 
Back
Top Bottom